Cattigo
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 193
- 393
Yani hata angekiwa kafa. Hizo roho za huo ukoo zitakuchapa makofi kila sikuHauwezi kumpa jina mtoto wa mtu.
Kwani baba yake kafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hata angekiwa kafa. Hizo roho za huo ukoo zitakuchapa makofi kila sikuHauwezi kumpa jina mtoto wa mtu.
Kwani baba yake kafa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mtoa mada ni bonge la kilaza, analazimisha mtoto awe wake (kwa majina) daaah. By the way kumlea mtoto wa mtu kuna ulazima gani wa kubadilisha jina? Any way labda anataka kumrithisha mali zake hapo baadae kwakuwa hana sperm za kumzalisha mwanamkeWewe ndo mwenye matatizo utampaje jina mtoto asiye wako kama vile sperm zako haziwezi totolesha
Yeah! Take it easyta det lugnt ... det är ingen stor fråga ... du bara skryter om det...hadet brä
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Itakuwa jamaa sperm nyeupe yani mpaka demu anasema azae wakee duu si ampe mimba...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mtoa mada ni bonge la kilaza, analazimisha mtoto awe wake (kwa majina) daaah. By the way kumlea mtoto wa mtu kuna ulazima gani wa kubadilisha jina? Any way labda anataka kumrithisha mali zake hapo baadae kwakuwa hana sperm za kumzalisha mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23] Inafurahisha sana jamaa yangu, huyu mleta uzi anatafuta matatizo makubwa kutoka kwa baba mzazi wa mtoto labda kama huyo baba mzazi hajui kama kuna sehemu amezalia mtoto, yaani baba wa kambo ndio abadilishe majina ya mtoto wangu mimi?? Aisee hata kama nilitengana na mama yake usithubutu kujimilikisha mtoto wangu, wewe miliki mke tu. Huyo single mother yupo sahihi 100% pia anajielewa.Shahawa za mwingine unazifanya zako dah
Hata hvyo maisha yenyewe mafupi nawewe umeamua isiwe kesi uyapunguze zaidi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ila kama anamatatizo hayo pole yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Itakuwa jamaa sperm nyeupe yani mpaka demu anasema azae wakee duu si ampe mimba...
Hapa wote wawili mna makosa,Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Kuna kitu pia hakiko sawa, unapoenda kuandikisha mtoto shule wanataka na cheti cha kuzaliwa cha mtoto, hata kama hautakuwa nacho siku hiyo na wakafanikiwa kumwandikisha bado watakuambia upeleke copy.[emoji23][emoji23][emoji23] Inafurahisha sana jamaa yangu, huyu mleta uzi anatafuta matatizo makubwa kutoka kwa baba mzazi wa mtoto labda kama huyo baba mzazi hajui kama kuna sehemu amezalia mtoto, yaani baba wa kambo ndio abadilishe majina ya mtoto wangu mimi?? Aisee hata kama nilitengana na mama yake usithubutu kujimilikisha mtoto wangu, wewe miliki mke tu. Huyo single mother yupo sahihi 100% pia anajielewa.
Technically Mwanamke mwenzenu anajua tangia mwanzo Baba mpaka ukoo na Familia wamekataa mtoto wake, hata kama akibadili Jina kwanini uumie na kutaka ujadiliane na mtu aliyekubali kumuhudimia mwanaoDah mwanamke mwenzetu huyo ujue..
Kosa moja na kuachwa juu
Q
Hata kama weee ni single maza mwanaume hana haki ya kubadili jina la mwanao bila kukaa na wewe kwanza na kujadiliana.
Angechukulia tu kibinadam amsamehe kwa kuwa ameomba msamaha kwa majibu mabaya
Mkuu umemaliza kila kitu,jamaa afuate tu huu ushauri.Misaada tunayowapa watu bila masharti ni misaada yenye scenario za kawaida sana, hata mimi hua ninawasaidia sana watu wenye uhitaji tena bila masharti yoyote lakini
Hii issue ya huyu jamaa ni sensitive sana, naona watu wanaongea tu juu juu kurahisisha mambo, kama jamaa yupo tayari kumsomesha mtoto kuna ugumu gani mtoto kutumia jina lake?
Baba mtoto si yupo hai ana umuhimu gani wa mtoto kutumia jina lake ikiwa wajibu wake unatekelezwa na mwanaume mwingine.
Kwa hiyo nyie mnaona ni vigumu mtoto kubadilisha jina kuliko utayari wa jukumu la kumsomesha alilojipa jamaa?
Kama issue ya kupata watoto wake ni suala la muda la jamaa kulitekeleza, ila ni shida hata watoto wengine wakipatikana tayari wakakuta familia ina matabaka, huyu mtoto anatumia ubini huu, wao wanatumia huu, halafu kwa dalili hizo za huyo mama mtu usikute jamaa atakatazwa hata kumcharaza mtoto bakora kisa sio wake.
Mtoa maada, badilisha jina huyo mtoto then msomeshe, kama mama mtu hataki akamwambie mwenye ubini anaoutetea alete ada.
Kwa mama mwenye uelewa na umuhimu wa elimu asingekukatalia ila hadi anakataa usikute bado anampenda baba wa huyo mtoto na pengine bado wanawasiliana na kushauriana namna ya kukuona wewe boya.
DuhTechnically Mwanamke mwenzenu anajua tangia mwanzo Baba mpaka ukoo na Familia wamekataa mtoto wake, hata kama akibadili Jina kwanini uumie na kutaka ujadiliane na mtu aliyekubali kumuhudimia mwanao
If someone thinks big there wasn't a point to argue why the man changed child name
Huyu jamaa hajakosea hata kidogo
Binamu ishu baba alimkataa mtoto angekua hajamkataa au anamhudumia sidhani kma angefanya hvyoo but the ishu hapa ni kua since anazaliwa yuko na step dad,Dada alipaswa aanglie zaidi future ya mtoto km baba angehudumia wala sio shida kabisa ila huyo ni sperms donorDuh
Kusaidiwa lakini sio utumwa wala kumililiwa mkuu.
Ila umasikini ni mbaya sana..unajfanya unauza utu wako na utu wa mwanao.
Basi tena ndo hivyo
Hivi unajua wewe hekaheka za kulea Mtoto???gharama unazijua wewe??Sadaka sio hiyooo ndugu.yaani njemba litulize mbupu zake,mwenzie amleleee.weweeeeee,fukuzia mbaliiiKwani kutumia ubini wako kunabadilisha nini mkuu,fanya kama unatoa sadaka tu!
Huyu mwanaume Yuko sahihi,mwanamke mwenzetu kapotoka Tena amediriki kusema "eti zaa wako"weweee mwanamke wewe hata adabu huna.Mumeo akiongea unatulia,unatafakari kwanza.Yaaani unagombana na mwanaume aliyekuheshimisha???Kaacha wanawake wote huko kakupokea wewe na Mtoto wako.Jamani weeeeeee wanawake tumezidi,tujifunze kutafakari kabla ya kutenda.Na mwanamke mpumbavu hujaza hasira ndani ya kifua chake.Duh
Kusaidiwa lakini sio utumwa wala kumililiwa mkuu.
Ila umasikini ni mbaya sana..unajfanya unauza utu wako na utu wa mwanao.
Basi tena ndo hivyo
Uko sahihi. .Na mimi nafikiria kufanya hvyo kumbadilisha mwanangu ubiniWinner takes all !
Baba sio jina la ubatizo , ni jina la kubeba majukumu .
Kama baba ameshindwa kumlea mtoto wake wa kumzaa mwenyewe , automatically anakosa mandate ya kuitwa baba.