Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
Yajue ya kuzingatia Mkuu ili uache kufuatilia mambo yasiyo ya msingi.

Mwenye UCHI ndio huwa anapanga matumizi ya uchi wake, hili huwezi control(Lipo nje ya uwezo wako).

Be a Man.
 
Udhaifu mkubwa sana
Unajua na umeliacha ilo swala
Mkeo hapaswi awe na mazoea na mwanaume yoyote yule
Wala kwenye simu yake hapaswi awe na namba ya mwanaume yoyote yuleee.
Isipokuwa ndugu.

Wanawake 90% ni malaya

Marufuku kujirecord mtandaoni,
Wala kushinda mtandaoni

Nguo zakubana marufuku
 
Pole hii haiwezekani kuwa na namba ya ndugu wa kiume tu🤦🏾
 
Udhaifu mkubwa sana
Unajua na umeliacha ilo swala
Mkeo hapaswi awe na mazoea na mwanaume yoyote yule
Wala kwenye simu yake hapaswi awe na namba ya mwanaume yoyote yuleee.
Isipokuwa ndugu.

Wanawake 90% ni malaya
Kweli wanaume mmeumia, hili la Baltazar limewachanganya.
 
Mimi ndo muuza mihogo huwa ninampa mihogo ya Bure mara nyingi, nataka nikamtafune kama anavyotafuna mihogo yangu usiwe na wasi was nitamla Kwa nidhamu
 
Wanawake sio. Umemuoa anakupa maku kimafungu ati kachoka kumbe upon kazini anatiwa na mchimba mtaro WA home au bodaboda.
 
Udhaifu mkubwa sana
Unajua na umeliacha ilo swala
Mkeo hapaswi awe na mazoea na mwanaume yoyote yule
Wala kwenye simu yake hapaswi awe na namba ya mwanaume yoyote yuleee.
Isipokuwa ndugu.

Wanawake 90% ni malaya

Marufuku kujirecord mtandaoni,
Wala kushinda mtandaoni

Nguo zakubana marufuku
Wakati wewe ulitembea na mazoea ulipokua kazini😅😅😅 jks
 
Mleta mada,
Mambo ya dunia huwezi kutatua yote,huwezi kuzuia kila jambo kwa mkeo na familia yako,as long as una furaha na familia yako ishia hapo,
Ishi ukijua changamoto ni sehemu ya maisha,unless una ushahidi ndipo uulize,vinginevyo furahia maisha
 
Dalili ya mvua ni mawingu.
Ni vizuri ukaanzisha sheria ya ndoa yako kumdhibiti mkeo!
Mfano : Asiwe na mazoea na wanaume mitaani nawe usiwe na mazoea na wanawake mtaani nk.
 
Back
Top Bottom