Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

Anza kutembea na kichupa cha mafuta ya maji, kila wakichekeana, hakikisha unakitoa unakitikisa huku muuza mihogo akiwa anakuona.
😂🤣

Yeye akijidai baltzar, wewe ni p diddy, ajichanganye umDIAMOND PLATNUMZ. 🤣
 
Back
Top Bottom