Mke wangu ni mchoyo

Huo muda unautoa wapi.......hapo mwendo unashindlia hotelin unawaletea watt vyakula vizuri hafu unamwacha yeye ale nyama zake peke yake.
 
Kama anakufanyia hivo akipika nyama tu mtafutie siku moja mpeleke kwenywe minada ya nyama choma uumzoeshe inaweza kuwa kakulia kwenye mazingira ambayo kupata nyama ilikua changamoto kidogo
 
Sio mchoyo tu bali ni mroho pia

Watu wa hivyo kuuwa ili waachiwe manyama hayo na kupunguza mtu kwenye share ya familia ni rahisi sana

Ana chembechembe za uchawi huyo
Ataangamiza familia siku moja
Mrudishe kwao mchawi huyo [emoji23][emoji23]
Duuu unanitisha sasa
 
Kwa uwezo gn nilionao?!
 
Nasoma huku NACHEKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama namuona vile akiwa kajigubika na kufura wakati wa kula hizo finyango zake 5
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama anakufanyia hivo akipika nyama tu mtafutie siku moja mpeleke kwenywe minada ya nyama choma uumzoeshe inaweza kuwa kakulia kwenye mazingira ambayo kupata nyama ilikua changamoto kidogo
Haya Asante
 
Huo muda unautoa wapi.......hapo mwendo unashindlia hotelin unawaletea watt vyakula vizuri hafu unamwacha yeye ale nyama zake peke yake.
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…