Kuna tiba maalumu ya kumtibia mtu mchoyo
Ongeza utafutaji yaani uwe na kipato cha kutosha anza kumuachia pesa ya kutosha na nunua bidhaa za vyakula anazozipenda kwa wingi hapo nyumbani na uwe unampendelea kwa kumuachia afanye hivyo yaani anajiwekea chakula kwa wingi usimchoke fanya hivyo mara kwa mara
Tafuta safari nae muende matembezi mkiona watu barabarani wanaomba omba mpe pesa atoe awape kama kuwasaidia kama sadaka
Tembea nae vituo vya yatima kutoa nae misaada
Yaani mueke mbele mbele kwenye kutoa ukifanya hivyo mara kwa mara atapunguza kama sio kuacha kabisa