Mke wangu ni mkorofi hatari

Mpuuu kabila mjita!! pole sana mkuu hiyo siyo kabila ya kuoa. Ni kweli wanawake wa kijita wengi ni wakorofi, waongo na wachonganishi hiyo ni asili yao hawafai. Nilioa mjita nilijuta ilibidi nimkimbie nikamuachia nyumba nikaenda kuanza upya. Usipofanya uamuzi wa haraka utapata shida sana na kama siyo kupata maradhi ya moyo basi 'stroke' inakuhusu.
 

Mwache anakutisha tu
 
Hamna ndoa hapa. Jitoe tu maisha yasonge asikutishe na uchawi. Shika imani yako kitakatifu.
 
Wewe mi kabila gani?

Nb. Nilishawatahadhalisha watu humu kitambo tu kuhusu kabila hizi za Kijita, Kikerewe na Jamii zao, hawa wanawezana wao kwa wao!
 
Kwanini uitoe roho kwa kumuhofia huyo mkorofi!? Piga chini haraka sana kabla ya mwisho wa January awe kapotea hapo maskani.
 
Mpeleke polisi....then mahakamani.

KOSA: Msumbufu, mchawi, anatishia
kujeruhi.

USHAHIDI: Hakuna

HUKUMU 1: Mpe talaka then mgawane mali.

HUKUMU 2: Endeleeni kuishi, na wewe anza usumbufu, anza kumroga, anza kichapo na usirudi tena hapa.
Mkuu sentensi yako ya mwisho imekaa kiroho mbaya [emoji38][emoji38]
 
Mkuu yanayokukuta ,ndiyo niliyoface mwaka 2008, shkran kwa Mungu niliwwza kukimbia nikiwa na miguu, tulikua kwenye uchumba, wajita waache tu Joy kidogo anitoe roho. Muhimu sali na Mtegemee Mungu, toka huko ulipo kama unataka maisha yako yawe marefu.
 
Mi nakushauri usimwite "mke wangu" huyo ni mjeshi wako, amekamilika katika idara zote za kuvuruga amani.

Kimbia hapo ndugu yetu tutakupoteza.
 
Ukikosea kuchagua mke rekebisha kwenye kuchagua mchepuko, mengine yatakuja taratibu.
 
Duuh matusi tena.? Huo siyo ungwana kabisa.
 
Wajita ndio Tabia zao hizo
 
Mkuu kuna wanawake wa Hivyo unamfanyia Kila kitu lakini anakua mkorofi Mimi Ni shahidi kwa hili Tena Hilo Kabila... Ni asili tuu kwani hujawahi kusikia au kuona mtu mkorofi tuu bila Sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…