Hii ndiyo dawa pekee.Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo dawa pekee.Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa.
Bibie ni wa Kibo show Huyu?Vumilia, ndoa ni uvumilivu
Tanzania nzima hakuna wakuwafikia.Wajita nao wanamidomo sana
Mpuuu kabila mjita!! pole sana mkuu hiyo siyo kabila ya kuoa. Ni kweli wanawake wa kijita wengi ni wakorofi, waongo na wachonganishi hiyo ni asili yao hawafai. Nilioa mjita nilijuta ilibidi nimkimbie nikamuachia nyumba nikaenda kuanza upya. Usipofanya uamuzi wa haraka utapata shida sana na kama siyo kupata maradhi ya moyo basi 'stroke' inakuhusu.Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Kisha ajiandae na Ada za hao watoto lukuki..Piga mimba huyo kila mwaka awe anateremsha injini
Habari wana JF.

Mkuu sentensi yako ya mwisho imekaa kiroho mbaya [emoji38][emoji38]Mpeleke polisi....then mahakamani.
KOSA: Msumbufu, mchawi, anatishia
kujeruhi.
USHAHIDI: Hakuna
HUKUMU 1: Mpe talaka then mgawane mali.
HUKUMU 2: Endeleeni kuishi, na wewe anza usumbufu, anza kumroga, anza kichapo na usirudi tena hapa.
Wa kibosho sio wakorofi, atakuwa MjitaBibie ni wa Kibo show Huyu?
Unasemaje eti? Hujakutana naye akakunyoosha. Uchawi upoBinafsi siamini kama uchawi unafanya kazi. Mungu ni mkuu wa yote fanya maamuzi sahihi.
Duuh matusi tena.? Huo siyo ungwana kabisa.We Jamaa fala sana ...Usilete habari za shetani na Mungu.... Kumtupia Tuu lawama mkeo wakati hujazungumza Shida zako.
Ukute hata Utamu humpi..
Kimoja chali...Tena chenyewe Cha sekunde imeisha unanakoroma Kama Mashini ya kusaga.
Husimami Kama mwanaume kwake Unategemea Nini.
Fala wewe
Kmmmk.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuwatupia lawama wanawake ati wamebadilika wakati sisi wanaume muda mwingine Tuna Mambo ya ajabu mnooo....
Wajita ndio Tabia zao hizoHabari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Mkuu niseme tu kuna mengi katika mahusiano yako zaidi ya haya uliyoyaeleza.
Sikuhizi nimekuwa muoga kutoa kauli za hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.
Tayari hushajua matatizo ya mkeo ni hatua nzuri kuelekea kuyatatua.
Swali ni, kwanini awe hivyo kwako??
Kwanini nafasi yako kama MWANAUME na KIONGOZI wa familia imepuuzwa mpaka mkeo kufikia kukutishia??
Umemfanya nini??
Majibu ya hayo maswali yakipatikana itakuwa rahisi kujua nini cha kufanya.
Kumbuka kile unachompa mkeo huwa kinakurudia katika namna tofauti.
Mpe mbegu atakuletea mtoto, mjali na yeye atakujali na kukupenda zaidi, mtengenezee mazingira ya kutokuheshimu na yeye atakuchukulia poa tu, mpe stress atakurudishia vita ya tatu ya dunia ndani ya nyumba.