Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao.

1. Supplier
2. Dalali anayetafuta mzigo
3. Transporter
4. Dalali anayetafuta wateja
5. Mteja

Kila trip ambayo mkeo ataenda let's say Mbeya kufuata mahindi jua Kuna chain ya mabazazi zaidi ya wawili ambao watajisevia mzigo kiulaini achilia mbali wale ambao anawaacha mjini.

Kuchapiwa mke Kuna umiza Naibu waziri alishawahi kusema wakikumegea demu wako na wewe tafute mnyonge umegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume.
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
 
Bora agongwe katika mazingira tofauti na hayo.Mwanamke ni Mama,mlezi na muangalizi wa nyumba,ikiwa anasafiri kwa kazi hizo majukumu hayo tajwa atafanya nani?
 
Aya ya mwisho umeiandika kishujaa Sana mkuu😂
 
Bora agongwe katika mazingira tofauti na hayo.Mwanamke ni Mama,mlezi na muangalizi wa nyumba,ikiwa anasafiri kwa kazi hizo majukumu hayo tajwa atafanya nani?
Unatoka nje ya mada,
Mada inahusu mwanamke kuchepuka kisa kusafiri kibiashara,

Kuhusu Mwanamke kua Mama wa Nyumbani badala ya kusafiri,upo sahihi.
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Tembelea kandahar na kabul uone jinsi mwanamke anavyo lindwa na hakuna kuchepuka
 
Unatoka nje ya mada,
Mada inahusu mwanamke kuchepuka kisa kusafiri kibiashara,

Kuhusu Mwanamke kua Mama wa Nyumbani badala ya kusafiri,upo sahihi.
Jitathimini kwenye namna ambavyo unafeed ubongo wako taarifa,kuchakata then kutoa maamuzi nahisi Kuna sehemu waya umechubuka unagusana na fuvu la kichwa
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Mkuu mazingira yana sehemu kubwa kufanya mtu kuliwa achilia mbali mkeo kutengeneza mazingira ili apunguze operation cost ndio humohumo mabazazi wanachukua credit
 
Ni kweli anafata mzigo ila na sisi huwa tunamuomba atuletee mzigo ila toauti ni kuwa mzigo wake huwa anatuletea na kuondoka nao
😂 Ukiletewa mzigo sharti ni kuutafuna ila zingatia usalama.
 
Back
Top Bottom