Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

Halafu kuwa wale mke ni mama wa nyumbani lakini anatafunwa na waosha kucha, wasomba taka, waha wakopesha vyombo, kina mangi wauza duka.

Kiufupi tabia ya mtu na kujiheshimu ndio point kubwa hakuna uhusiano kabisa na kufanya biashara ya kusafiri au kuwa mama wa nyumbani.
 
Tupe heshima hetu bodaboda, nasi tunasasambua mbususu za wamama wa nyumbani
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Ukimfungia atafanya kwa kuiba, lakini akiwa mikoani unakuwa na uhakika kabisa WANAICHAPA!
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
We unajua kt kinaitwa risk? Kwa huyo Vasco da Gama risk ni kubwa
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Ukumbuke tu kuna mazingira na marafiki yanamchango mkubwa mtu kuchepuka..

Sisemi afungiwe ndani lakini ni akiwa mbali na mume na akipata ushawishi inakuwa mafuta kwenye moto
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
🥂
 
Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao.

1. Supplier
2. Dalali anayetafuta mzigo
3. Transporter
4. Dalali anayetafuta wateja
5. Mteja

Kila trip ambayo mkeo ataenda let's say Mbeya kufuata mahindi jua Kuna chain ya mabazazi zaidi ya wawili ambao watajisevia mzigo kiulaini achilia mbali wale ambao anawaacha mjini.

Kuchapiwa mke Kuna umiza Naibu waziri alishawahi kusema wakikumegea demu wako na wewe tafute mnyonge umegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume.
Hiyo ndio dunia
 
Yupo mbaba hapa mkewe anapeleka mizigo Zambia na wana mijengo ya kutosha mjini.
 
Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Mshenzi ni mshenzi tu,hahitaji any excuse.....

Well wise words bro
 
Mimi huwa naamin mwanamke yeyote mfanyabiashara hataka kama ni duka la kwenda nyumban na kurudi lazima achapwe maana biashara zina mambo mengi

Hata hvyo kwa dunia ya sasa kuchapiwa ni kawaida,wewe mpe elimu ya kujikinga na magonjwa tu bas inatosha
 
kwahiyo na wewe unachapa?
 
Back
Top Bottom