Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Na mim nachapa eee,mwanaume hatuwez kula tundu moja maisha yotekwahiyo na wewe unachapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mim nachapa eee,mwanaume hatuwez kula tundu moja maisha yotekwahiyo na wewe unachapa?
Naomba nimuunganishe na wanguKama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao.
1. Supplier
2. Dalali anayetafuta mzigo
3. Transporter
4. Dalali anayetafuta wateja
5. Mteja
Kila trip ambayo mkeo ataenda let's say Mbeya kufuata mahindi jua Kuna chain ya mabazazi zaidi ya wawili ambao watajisevia mzigo kiulaini achilia mbali wale ambao anawaacha mjini.
Kuchapiwa mke Kuna umiza Naibu waziri alishawahi kusema wakikumegea demu wako na wewe tafute mnyonge umegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume.
Hiyo issue ni sawa na mtu mwenye tabia ya wizi,We unajua kt kinaitwa risk? Kwa huyo Vasco da Gama risk ni kubwa
Wewe binti toka nikukatalie kukupelekea moto,naona umekua na hasira zisizo na sababu kwangu,kajilengeshe kwa wengine,acha kujitongozesha kwangu kwa mara nyingine tena.Jitathimini kwenye namna ambavyo unafeed ubongo wako taarifa,kuchakata then kutoa maamuzi nahisi Kuna sehemu waya umechubuka unagusana na fuvu la kichwa
We unaona wanataniana tu🥺Hata maofisini ni shida tu naonaga watu wanavyotaniana mpaka kushikana shanga
Sawa bosi ingawa sijui jinsi yako. Yakikuta usijelalamika humu JF. Wengine tumekula chumvi nyingi tumeona mengi. Mwanamke ni kiumbe dhaifu ht vitabu vitakatifu vimeandika we Nani ushinda navyo. Kule Zenji na Uarabuni ht sokoni hawaendi. Mwanamke azurure mikoani mwenyewe we unakoroma ndanib umelaza mapumbu yako?Hiyo issue ni sawa na mtu mwenye tabia ya wizi,
Mwizi ni mwizi tu,hata akiwa na mamilioni ila akiiona elfu kumi ataiiba tu coz hiyo ni tabia yake,
Mtu anayejitambua na anayejielewa hawezi kushawishika kwa jambo au vitu ambavyo havipo kwenye mipango yake.
Kwahiyo wewe yamesha kukuta? umegongewa tayari?Sawa bosi ingawa sijui jinsi yako. Yakikukuta usijelalamika humu JF. Wengine tumekula chumvi nyingi tumeona mengi. Mwanamke ni kiumbe dhaifu ht vitabu vitakatifu vimeandika we Nani ushinda navyo. Kule Zenji na Uarabuni ht sokoni hawaendi. Mwanamke azurure mikoani mwenyewe we unakoroma ndanib umelaza mapumbu yako?
Kuna mazingira yanayohamasisha mwanamke achepuke. Hàkuna eti anajiheshimu wala nini. Ukimweka hàyo mazingira atachepuka tuu. Anayejiheshimu akikutana na mazingira yànayoruhusu kuchepuka anachepuka.Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
okNa mim nachapa eee,mwanaume hatuwez kula tundu moja maisha yote
Hakika mkuu na mtu mzima hachungwi.Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Kwa hiyo na mume nae anakuwa kaliwa😲😲😲 ebo! Basi wanaume wengi ni rindaless theoretically speaking 🤣🤣🤣🤣🤣Hujui maana ya ndoa, hao wameshakuwa mwili moja akiliwa mwanamke maana yake wanaliwa wote.
Maofisini unakuta wanawake wanagombamba kisa mfanyakazi mwenzao, ugonvi mkubwa mpaka ofisi inatikisika lakini jamaa ana mke wake nyumbani nao pia wana waume zao.Hata maofisini ni shida tu naonaga watu wanavyotaniana mpaka kushikana shanga