Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
👏👏👏Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.