BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Bora agongwe katika mazingira tofauti na hayo.Mwanamke ni Mama,mlezi na muangalizi wa nyumba,ikiwa anasafiri kwa kazi hizo majukumu hayo tajwa atafanya nani?Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Aya ya mwisho umeiandika kishujaa Sana mkuu😂Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao.
1. Supplier
2. Dalali anayetafuta mzigo
3. Transporter
4. Dalali anayetafuta wateja
5. Mteja
Kila trip ambayo mkeo ataenda let's say Mbeya kufuata mahindi jua Kuna chain ya mabazazi zaidi ya wawili ambao watajisevia mzigo kiulaini achilia mbali wale ambao anawaacha mjini.
Kuchapiwa mke Kuna umiza Naibu waziri alishawahi kusema wakikumegea demu wako na wewe tafute mnyonge umegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume.
Nakazia hapaDon’t Generalize,Kama ni mgawaji atachapwa tu hata sebuleni kwako wewe ukiwa upo chumbani
Unatoka nje ya mada,Bora agongwe katika mazingira tofauti na hayo.Mwanamke ni Mama,mlezi na muangalizi wa nyumba,ikiwa anasafiri kwa kazi hizo majukumu hayo tajwa atafanya nani?
Uzi ufungwe hapaMwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Tembelea kandahar na kabul uone jinsi mwanamke anavyo lindwa na hakuna kuchepukaMwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
Alafu ikigegedwa shida iko wapi? Mbususu sii yake kwa nini uipangie matumiziHuyo ndiyo mke bora! Ni mchakarikaji! Big up.
Usisikilize ujinga na kelele za watu eti huko akienda mikoani anaenda kufanya uhuni.
Uhuni ni tabia ya mtu.
Jitathimini kwenye namna ambavyo unafeed ubongo wako taarifa,kuchakata then kutoa maamuzi nahisi Kuna sehemu waya umechubuka unagusana na fuvu la kichwaUnatoka nje ya mada,
Mada inahusu mwanamke kuchepuka kisa kusafiri kibiashara,
Kuhusu Mwanamke kua Mama wa Nyumbani badala ya kusafiri,upo sahihi.
Mkuu mazingira yana sehemu kubwa kufanya mtu kuliwa achilia mbali mkeo kutengeneza mazingira ili apunguze operation cost ndio humohumo mabazazi wanachukua creditMwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,
Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
😂 Ukiletewa mzigo sharti ni kuutafuna ila zingatia usalama.Ni kweli anafata mzigo ila na sisi huwa tunamuomba atuletee mzigo ila toauti ni kuwa mzigo wake huwa anatuletea na kuondoka nao
Uwezekano wa kuchapwa akiwa mbali ni mkubwa kulinganisha akiwa katika himaya YakoDon’t Generalize,Kama ni mgawaji atachapwa tu hata sebuleni kwako wewe ukiwa upo chumbani