Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimfungia ndani,
Pia Mwanamke akitaka kujiheshimu,atajiheshimu tu hata kama atakua anasafiri kibiashara kama unavyodai,

Huwezi kumlinda binadamu bali kila Binadamu hujilinda yeye mwenyewe kitabia.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Sabda uishi na midoli ndiyo utai-control ilisiwe kwa kuifungia chumbani na kwenda na funguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…