Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
NAKAZIA ulipoKAZIA [emoji419]NAKAZIA HAPA.
Umsakini na ushamba unakusumbua mkeo analiwa hadi na mateja
Ile asubuhi unatoka unaenda kazini. Baada ya dk 20, jamaa linaingia kupiga mzigo.
Mazingira ya kuliwa mwanamke ni mengi sana, huwezi kumdhibiti. Ni yy mwanamke aamue kutulia tu
Mazingira ya kuliwa mwanamke ni mengi sana. Kama mwanaume kuyadhibiti ni sawa na kulinda bahari
- Ataenda sokoni/ dukani
- Ataenda kwenye nyumba za ibada
- Hapo unapoishi kuna majirani wanamtamani
- Kuna masuala msiba, ataenda msibani ila atawahi kutoka akapigwe mashine
- Kuna masuala ya harusi, huko ndiko balaa
- Wewe mwenyewe unatoka asubuhi kurudi usiku, hapo ni masaa mangapi yupo mwenyewe?
- Kuna siku, wewe mwanaume utasafiri kwenda kwenu au shughuli za kiuchumi.
- Kuna siku mwanamke atasafiri ataenda kwao au kwa ndugu yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajisumbua.
Hapa yupo mdada mke wa mtu ana simu ndogo ila maongezi yake kwenye hiyo cm ni aibu
Salamu
Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98
Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk
Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na maadili 100 ila mtandao utamnasa tu
Kama unabisha kamata simu ya mkeo,mpenzi,mchepuko mshtukize uangalie huko ulimwengu wa inbox,DM ni balaa
Kwa ushamba wangu nimeamua rasmi sitaki mke,demu,mchepuko,mpenz awe mtumiaji wa mitandao vinginevyo amiliki simu ya tochi
Ni Bora kupigiwa na muuza mkaa taarifa zake ipo siku ntazinasa tu mitaani kuliko mdau wa dm,inbox
Nawasilisha
Chungulia inbox ya mtu wako utakuja nielezaKazi unayo mzee
Jama mkoloni sana.
Mkuu utafiti hua hauna mwisho,hua unaanzia pale unapoishia wewe,ndomana nakinzana nawewe kimawazoKama umeoa Mwanamke maamuma au vitoto vya kale hapo Sawa.
Usipojiamini hata ungemfungia Mkeo chumbani au ungeishi naye Peponi bado ungekuwa unahisi ujingaujinga.
Mkeo akutongozwa inakuhusu nini? Yeye si Mwanamke.
Vijana mnatakiwa mpewe semina.
Haipendezi mwanaume kuwa mwoga hivyo.
Ukishamuachia Mkeo maelekezo kuwa unahitaji heshima inatosha. Kumuachia Uhuru ni sehemu ya kuonyesha unampenda na kumjali. Pia inaonyesha wewe ni Mwanaume unayejiamini.
Kama atakiuka maagizo yako unafukuza. Kisha unaoa mwingine.
Sio umgeuze mtoto wawatu mfungwa kisa kutokujiamini kwako
Bora hivyo kuliko mtandao
Mkuu jalibu kuzama inbox kwa mtu wako lazima utaleta iz jf unataka kuhinyonga
Oya wee.Kazi unayo mzee
Wala, ni hajiamini.
Anaona wapo wanaume wanaomshinda yeye na wenye uwezo WA kumchukua Mkewe. Hiyo tosha inaeleza kuwa hawezi kuishi na Mwanamke yeyote.
.
Kwa hiyo Mkeo asitongozwe?
Uzuri wake utakuwa na maana gani sasa
Mkuu utafiti hua hauna mwisho,hua unaanzia pale unapoishia wewe,ndomana nakinzana nawewe kimawazo
Chakukushauri tu kama unajiamini zama inbox yoyote ya mtu wako unaemjua
Najua hapa utapinga,ila kiuhalisia utafanyia hoja hii
Sijazungumzia kutongozwa nazungumzia makubaliano ya uko inbox unajua
Mkuu mada si kutongozwa,nimekuuliza iv unajua iz simu zinaficha Siri ngapi za hao unaowaamini,kwangu Mimi bola aliwe na zimwi nalolijua kuliko zimwi nisilolijia abadani,maana mipango ya Sirini ni mibaya sana kuliko ya ardhiniHuko wenzako tulipita Muda.
Mwanamke lazima atongozwe. Sisi wengine tukiona wake zetu hawatongozwi tunaona hatujaoa Wanawake Wazuri.
Meseji za Watu tumezisoma mpaka tumeeachana nazo, nyingine tumezijibu Sisi wenyewe na Pesa tukazila.
Mkeo lazima atongozwe Ila sio lazima achepuke. Na kama unataka Mkeo asitongozwe basi unamatatizo ya Akili na kisaikolojia.
Ila akitoka hapo ni ruhusa kuachana. Sio umbane MTU kama umemuumba wewe. ATI simpi simu kubwa. Huyo Binti labda awe Msukule wako
Mada si
Mkuu mada si kutongozwa,nimekuuliza iv unajua iz simu zinaficha Siri ngapi za hao unaowaamini,kwangu Mimi bola aliwe na zimwi nalolijua kuliko zimwi nisilolijia abadani,maana mipango ya Sirini ni mibaya sana kuliko ya ardhini
Mkuu wewe ndo umejumuisha,nakupa taarifa tu iyo simu ya mtu wako inbox zinamajanga mengi ndo mana zinapigwa paswed kama alama za kumsaka mola wa peponiUnajaribu kueleza kuwa Mchumba au Mpenzi wako ni Malaya.
Na kama ni Malaya, sio lazima awe na smartphone.
Kama anawakubalia wengine na yupo na wewe basi jua unamatatizo makubwa,