Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

Kwaiyo unaamini mtu wako anatumika na wadau wengne sio
 
Mkuu wewe ndo umejumuisha,nakupa taarifa tu iyo simu ya mtu wako inbox zinamajanga mengi ndo mana zinapigwa paswed kama alama za kumsaka mola wa peponi

Tumetoka Huko muda Sana.
Ubaya wa mtu upo moyoni mwake na sio kwenye simu.
Ni Watu wajinga wanaohangaika na kutafuta ubaya WA Wenza wao kwenye simu au material.
Watibeli tunadili na mioyo, hisia na Nafsi.
Simu inaweza kuwa Safi lakini Nafsi ya Mwenza ikawa chafu.

Nenda polepole utakuja kujiua 😂😂
 
Labda uwe umemuumba wewe[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu kwa uzoefu wangu ayo nayajua sana mkuu
 
Huna hoja za msingi kuwazuia warembo kumiliki smart devices.
Kutongozwa kwa warembo lazima sheikh, labda uumbe wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…