Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

Mnatunga stori ili kuwapaisha timu kataa ndoa..Huyo unadai ni mke wako ulifunga naye ndoa au mlichukuana kisasa..mnacheti cha ndoa? maana mwisho wa stori yako unawakakini.
 
We jidanganye tu🤣 mwanamke hana maamuzi kwenye mapenz anaweza kumpa unyumba yeyote atakaye fanikiwa kumshawishi yani kuna jamaa hata mke wako awe anakupenda vipi ukimwachia nafasi lazima amegwe tu
 
🤣🤣🤣 Hawa vijana wanatuonaje sijui.
 
Ila mke anauma hata km ni chai ila km ni kweli pole sana mke anauma na unaweza usikae sawa kwa mda
 
Huyo jamaa atakuwa ni ex wake walisoma wote secondary au chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…