Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

pole mkuu hayo ni majaribu makubwa sana unapitia,tulia kama ulivyowaza na sikushauri kwasasa utafute mtu maana hawa wenzetu wengi wanafanana,tafakari namna ya kuwasaidia watoto huko mbeleni ukiamua kuatafuta mtu mwingine ni wewe tu ila sio sababu ya kuanza kuwa na mademu wengi kisa kosa la mtu mmoja jipe muda
 
Uzi umejaa ushauri kibao, Hii inaonyesha mtoa mada ana akili kuzidi nyie watoa ushauri

Mana mtoa mada anajichekea zake na kuwaona mafala na hizo shauri zenu 😂
 
Kwa heshima na taadhima, tunaomba ufafanue zaidi ili watoto warembo kama akina Seran wasitufikirie vibaya tukaishia kuwaita mashemeji
nmemaanisha watu mnajua kupekua hadi thread yake ya zaman mmeipata pind alipokuaga binti.

ila mtoa mada jana alikua na kitumbua leo ana mhogo.
Sijui tumweke kund gani...!

Dada Seran aje atupe uzoefu hii kitaalam inaitwaje?
 
Chai
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…