Niliwahi kuwa na mke tuliachana 2020 akaambulia pesa milioni 40, gari, kiwanja, n.k.... wenzake walimjaza upepo wa umalkia wa nguvu / miss independent.. Iliniuma ila ilikuwa funzo. >>
Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali
Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)
So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bondo nyumba, kiwanjaa, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,
, ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, kawahi kunipa milioni 1 cash aliniambia alikuwa anazitunza kwenye helaa nazompa zinisaidie marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipokee huwa namwambia ni kweli nadaiwa ila kwavile nampenda siwezi jibana kwake, ni sharti lazima nile nyumbni au niondoke na chakula hii kitu alipiga sana kelele migahawa inanimalizia pesa, n.k.
advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex nampa 10/10 ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu,She is very supportive na huwa ananipa peace of mind