Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata babycare haibebi mimbasitumii sabuni, inachubua mb<><>
natumia mafuta ya mgando BabyCare
Hata babycare haibebi mimba
Hivyo ni nzuri sana.Umefanya jambo la msingi ila ni ngumu sana kuishi na huo uwongo kwa zaidi ya miaka 5 ya ndoa.
Mtavurugana tu siku moja na atakusimanga kwamba mideni yako haishi dume zima ilooo😂😂😂
Kuna ile hoja kwamba sheria inamlipa mwanamke kwa juhudi zake alizoweka kwenye mahusiano(kuzaa na kulea, kutunza nyumba, kutofanya kazi kwa wengine ili wahudumie ndoa)Msiwege mnaoa.
Eti akaambulia milioni 40. Milioni 40 unaiona ndogo mkuu? Hata kama una hela yani mwanamke anachukua milioni 40 yako kwa sababu gani?
Naam! NDOA NI ULAGHAI, UNYONYAJI KWA MWANAUME, UMASIKINISawa ila mkija kuachana kwa sababu yeyote nyingine hutokua na ujanja mtagawana tu
Njia pekee ya kuzuia hii changamoto ni kuoa mtu uliyefanana nae kiuchumi, tajiri kwa tajiri, maskini kwa maskini
Ukikubali kuoa umekubali kugawana mali, sharti hilo
Halafu eti wanaiita ndoa taasisi ya kiroho, imeanzishwa na mungu, wakati ina mapungufu yote hayo
Ndoa ni utapeli.
😂😂😂😂😂😂😂😂Hivyo ni nzuri sana.
Hao wanawake wa kutoa kashfa usipompa anachotaka kwa wakati wake nina sindano yao ya tartiibu😂
Sasa huyu si ndiyo mke bora sasa anayetakiwa umzingatie!Niliwahi kuwa na mke tuliachana 2020, kuna kipindi kifupi hapo nyuma niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 kila mwezi niliiacha baada ya ushindani kujaa kiasi kwamba hata laki 5 ikaanza kutafutwa kwa tochi, pesa zilimchanganya sana mke wangu akaajazwa upepo tuachane japo aliambulia pesa milioni 40, gari, kiwanja, n.k.... wenzake walimjaza upepo wa umalkia wa nguvu / miss independent.. Iliniuma ila ilikuwa funzo. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali
Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)
So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,
Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, kawahi kunipa milioni 1 cash aliniambia alikuwa anazitunza kwenye hela nazompa zinisaidie marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipokee huwa namwambia ni kweli nadaiwa ila kwavile nampenda siwezi jibana kwake, ni sharti lazima nile nyumbni au niondoke na chakula hii kitu alipiga sana kelele migahawa inanimalizia pesa, n.k.
Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex nampa 10/10 ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu,She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
Ukisema ukweli tu umenyolewa na kutobolewa Macho, chaguo ni lako kumbuka Delilah ana mbinu nyingi sanaMbona kama ni mahusiano yanayoendeshwa na uongo!
Waliolewa kitambo mkuu....by the way dada zangu sio wale wanawake wa hovyoSiku dada zako wakiwa mashangazi ndio utajua chanzo ni nini
Pambana na hali yakoTulivyo waambia KATAA NDOA..... NDOA NI UTAPELI ....mkaona sisi ni wajinga 😂😂😂
🤣🤣Waliolewa kitambo mkuu....by the way dada zangu sio wale wanawake wa hovyo
kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa pesa zilimchanganya sana + entitlement ya kuona anaweza kutumia pesa kivyovyote bila kuhojiwa, nilipoanza kutia mkazo yakaanza malumbano, yani hata nikimuachia elf 30 kwa siku analalamika haimtoshi !! yeye anataka kuishi maisha ya kibongo muvi na ya kuspend kwa kushindana ama kutaka kusifiwa na wenzake, akajazwa upepo wa kishenzi kwamba tuachane, ilikuwa hivyo na aliambulia milioni 40, gari moja, kiwanja, n.k. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali
Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)
So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,
Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, kawahi kunipa milioni 1 cash aliniambia alikuwa anazitunza kwenye hela nazompa zinisaidie marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipokee huwa namwambia ni kweli nadaiwa ila kwavile nampenda siwezi jibana kwake, ni sharti lazima nile nyumbni au niondoke na chakula hii kitu alipiga sana kelele migahawa inanimalizia pesa, n.k.
Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex nampa 10/10 ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za muhimu tu,She is very supportive na huwa ananipa peace of
Sacrifices must be made, ila ntacheki utaratibu kama naweza kuacha will kimya kimyaSasa huyu si ndiyo mke bora sasa anayetakiwa umzingatie!
Halafu si kila mwanamke ana mawazo ya talaka na mgawanyo wa mali.
Pamoja na kuwa tayari umekwisha jifunza kutokana na changamoto ya ndoa yako ya kwanza, kuna jambo laweza kukukuta bila wewe kutarajia na mkeo huyo akashindwa kunufuaika na chochote na kupoteza haki zake kwa kutokuelewa uhalisi wa umiliki wako wa vitu ama mali.
Je wafahamu kuna kifo cha ghafla?
Umejipangaje na hilo?
Pesa zilimuharibuBora huyo wa mwanzo
Acha achukue nae ni mtu kama watu wengine, heri hiyo kuliko majanga ya kuvunjika familiaKuna rafiki kajitwalia jumba la bure kwa sababu ya rafiki kumficha mali mkewe na ndugu...kafa sasa
Ngoja niipitie nitatia neno..Kuna ile hoja kwamba sheria inamlipa mwanamke kwa juhudi zake alizoweka kwenye mahusiano(kuzaa na kulea, kutunza nyumba, kutofanya kazi kwa wengine ili wahudumie ndoa)
Lakini sasa unajiuliza hivyo vitu ke anafanya kumnufaisha nani si karidhia mwenyewe?
Halafu ni kwamba mnagawana 50/50 bila shauri au kuna vigezo kama muda mliodumu, watoto, mmeachana vipi... eti Mgeni wa Jiji DR Mambo Jambo
Bila hati??Kuna rafiki kajitwalia jumba la bure kwa sababu ya rafiki kumficha mali mkewe na ndugu...kafa sasa