To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nasema hivi,kuanzia kununua uwanja alikuwa anatuma tu pesa kwa rafikiBila hati??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema hivi,kuanzia kununua uwanja alikuwa anatuma tu pesa kwa rafikiBila hati??
MorningNgoja niipitie nitatia neno..
Ni Sheria ya Ndoa "The marriage Ordinance"
Nayo ni kama chai hiviMsiwege mnaoa.
Eti akaambulia milioni 40. Milioni 40 unaiona ndogo mkuu? Hata kama una hela yani mwanamke anachukua milioni 40 yako kwa sababu gani?
Hata hvyo wewe na wenzio bado ni wajingaTulivyo waambia KATAA NDOA..... NDOA NI UTAPELI ....mkaona sisi ni wajinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila siku tunaimba na kauli mbiu yetu ya kimalaika kataa kuoa kataa kuishi na Mwanamke kindoa au kinyumbakuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa pesa zilimchanganya sana + entitlement ya kuona anaweza kutumia pesa kivyovyote bila kuhojiwa, nilipoanza kutia mkazo yakaanza malumbano, yani hata nikimuachia elf 30 kwa siku analalamika haimtoshi !! yeye anataka kuishi maisha ya kibongo muvi na ya kuspend kwa kushindana ama kutaka kusifiwa na wenzake, akajazwa upepo wa kishenzi kwamba tuachane, ilikuwa hivyo na aliambulia milioni 40, gari moja, kiwanja, n.k. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali
Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)
So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,
Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipoke, nadhani hata nikifa leo anaweza asifuatilie mali ila najitahidi kuweka mkakati aje kujua kwamba sidaiwi endapo nikipata kifo cha ghafla. n.k.
Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex wala sina nachomdai nadhani ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu, She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
Kuzaa sio lazima ndoa mlamu.Unatapeliwa na sabuni wewe fala😂😂
Sabuni haizai
Ebu waza kuwa Jeff benzon tuone kama itakua mamndenyi[emoji38]Unalowaza ndilo litakalokutokea.
Morning umeamka poaaaMorning
Niko poa Kabisa...karibu mbeya DrMorning umeamka poaaa
Mbeya Maeneo gani..Niko poa Kabisa...karibu mbeya Dr
🤣🤣hupendi baridi?Mbeya Maeneo gani..
Huko kuna Baridi mno 😅😅
Na hivi viswahili vitarafa vyenu, vinaua sana maneno yenye heshima na kuyafanya yakose maana.Siku dada zako wakiwa mashangazi ndio utajua chanzo ni nini
Nimesoma na nimemuelewa,ila Maamuzi ya kugawana Mali "Matrimonial Properties,Au matrimonial Assets and liabilities" yanategenea na Vitu vingi sana..Kuna ile hoja kwamba sheria inamlipa mwanamke kwa juhudi zake alizoweka kwenye mahusiano(kuzaa na kulea, kutunza nyumba, kutofanya kazi kwa wengine ili wahudumie ndoa)
Lakini sasa unajiuliza hivyo vitu ke anafanya kumnufaisha nani si karidhia mwenyewe?
Halafu ni kwamba mnagawana 50/50 bila shauri au kuna vigezo kama muda mliodumu, watoto, mmeachana vipi... eti Mgeni wa Jiji DR Mambo Jambo
Baridi napenda ila isiwe sana kama ya Mbeya 😅😅🤣🤣hupendi baridi?
Mbeya hakuna baridi,baridi ipo mafingaBaridi napenda ila isiwe sana kama ya Mbeya 😅😅
Mafinga na Njombe hakuna Baridi ila kuna Barafu 😅😅😅Mbeya hakuna baridi,baridi ipo mafinga