Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Aisee kumbe haya matukio yako Real.

Najuaga ni stori za mitaani tu.

Hivi kweli inaweza kunitokea na Mimi kwa Mke wangu?

I dont Think so
Mwanamke akianza kuona unaingiza pesa nyingi akianza kuwaambia wenzake tu tayari wanaweza kumtia sumu kwamba akuache apate pesa ajisimamie mwenyewe, na wanawake walivyo rahisi kubrain wash ni rahisi hasa hawa wasomi wanaoamini falsafa za miss independent boss lady mwanamke kujisimamia mwenyewe
 
Unaliwa timing
 
Kwahiyo unaishi kwenye ndoa kwa nguvu ya uwongo 😁😁😁, ila ndoa ngumu jamani... Inabidi jamaa asiwe huru sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…