Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

Nahama nchi ... kubugia ugoro tu kila siku, tena wa kulazimishwa. Too much nonsense😡😡😡😡😡😡
 
Peleka wazimu wako chooni, kama kweli huyo Mwandosya alikuwa wa maana nchi nzima si ingekuwa na maji. Binafsi sitaki kabisa kusikia majina yanajirudia, na ikiwezekana hizi nafasi ziwe kwa weledi na uwezo, maana sijaona wa kuleta mabadiliko huko Bungeni.
 
Tuambie legacy yake hata moja tu alipokuwa kwenye wizara kama waziri
 
Atakayemuona KIGOGO2014
 
KWA HIYO UMESHATUMWA UJE UKAMFANYIE LOBBYING? YAANI UNARECOMMEND WATU HATA MENO YOTE MDOMONI YANATIKISIKA? POOR ME!!!!
 
Anze na waziri anae zuia Mloganzila kuwa Teaching university hospital.
 
Naunga mkono Halima Mndee ateuliwe mbunge alafu apewe wizara kwani naye ni Ccm mavimv
 
Ni kama maskini kuamka dangote

Hao wateule ni sampuli ya watu Walioshiba halafu bado wana kiporo ndani

Watu kama Mwezi wa Kwanza,, hawakuanza kama mchicha,, wao walijikuta tu wameshakuwa mbuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…