Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo.

Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye.

Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais.

Mkeka ujao ndo mwisho wa dharau kwa rais.

Nani unapendekeza atoke na kwa sababu gani?

Nani aingie kwa sababu gani?

Nampendekeza ateuliwe Mark James Mwandosya apewe Wizara ya maji. Kabobea.

Serikali kutomtumia Mark James Mwandosya, ni kupoteza nguvu kazi ya taifa. Vijana bado wanatakiwa kujifunza kwake.

Nonsense wote watoke Serikali

 
Mwandosya alitaka kuuza ATCL na TTCL!

Halima James Mdee aingie kwenye Baraza la mawaziri!
 
Back
Top Bottom