Amna cha zaid hapo,Elfu 35 ni tusi. Lakini ngoja tusubiri
Amna cha zaid hapo,Elfu 35 ni tusi. Lakini ngoja tusubiri
Angalau laki na nusu kwenye take home.Amna cha zaid hapo,
😀😀 labda fisiem wakitoka madarakaniAngalau laki na nusu kwenye take home.
Hakuna nyongeza ya kutisha sana, the highest salary increment is approximately to TZS130,000. This is for minimal wages, if your salary is above 1M expect even 10k.Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
CCM must go!!!Hakuna nyongeza ya kutisha sana, the highest salary increment is approximately to TZS130,000. This is for minimal wages, if your salary is above 1M expect even 10k.
inaonekana we uko jikoni kabisaHakuna nyongeza ya kutisha sana, the highest salary increment is approximately to TZS130,000. This is for minimal wages, if your salary is above 1M expect even 10k.
Una-caluculate vipi?Angalieni kwenye ess mtaona ongezeko la pesa ya kukopea imeongezeka then calculate utajua imeongezeka bei gani ni kati ya 65-70k
Ushawahi kopa
Hueleweki.Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
Ina uongo wa wazi mnooooHii hata mimi niliiona ila sio uhalisia.
umepiga mulemule ,Hakuna nyongeza ya kutisha sana, the highest salary increment is approximately to TZS130,000. This is for minimal wages, if your salary is above 1M expect even 10k.
Bado unaamini ni ccm!?CCM must go!!!
Kwahyo leo ni 1977?... hao hao unao watetea ndio wanao panga wabunge zaid ya 300 walipwe 12M kwa mwenzi, bima ya daraja la juu, na hawachangii chochote kwenye mafao kama mfanya kazi anae tafutia mapato nchini. Hao hao ccm mwenyekiti wao alie pita alitukalisha miaka 5 bila increment wala daraja. Hao hao ccm ndio wanao pitisha bajeti zote za nchi hadi mshahara wako. Hao hao ndio wanmeamua mubunge apewe 12m per month na posho ya kikao 220k kila anapo hudhuria kikao. I'll hali watumishi wa halmashauri hasa waalimu huanza na 450k kwa mwenz na Hawaii 3.6m per month. Hao hao ccm ndio wanao panga kua mwaka huu tuwaongezee mshahara hawa jamaa au tuwakaange. Jarib kujielewa mzee sio unaongea vitu ambavyo hauvijui. Ulisha wah kuckia Kenya wanalalamika mishahara? Rwanda je m. Marekani je, ccm kutwa kuongeza majimbo ili kuongeza wabunge. Emagine nchi kama tz waomba misaada tuna kua na wabunge 300+ huku wote walipwe 12 per month na mkopo wa magari 90m huku serikali ikiwalipia 45m. Mwarekan na ukubwa wote ule lakin tuna wafukuzia kwenye idad ya wabunge . Hii nchi ilipaswa kua na wabunge wasizid 50 tena wasomi ili kupunguza matumizi ila ccm hilo kwao halipo. AMKABado unaamini ni ccm!?
CCM ni mwaka 1977 na mishahara ilianza kabla ya mkoloni kuondoka!
Tulipopata uhuru 1961 ccm ilikuwepo!!?sera ya taifa hili kuhusu uchumi ipoje na ilikuaje kabla ccm haijaja!!?
Mishahara,posho na aina ya uchumi wetu uweje ni maamuzi ya Baraza la usalama was taifa kwenye nyanja zote!!
Chukua hiyo utapata walau afya!
Reginald Mengi anaandika "mwalim nyerer aliwapendelea watz wenye asili ya Asia kuliko wazawa!
Na wazawa was Leo wakaifanya siasa kuwa ndio lango kuu la uchumi kuliko mkulima wa nyanya!!
Sijawatetea hata!Kwahyo leo ni 1977?... hao hao unao watetea ndio wanao panga wabunge zaid ya 300 walipwe 12M kwa mwenzi, bima ya daraja la juu, na hawachangii chochote kwenye mafao kama mfanya kazi anae tafutia mapato nchini. Hao hao ccm mwenyekiti wao alie pita alitukalisha miaka 5 bila increment wala daraja. Hao hao ccm ndio wanao pitisha bajeti zote za nchi hadi mshahara wako. Hao hao ndio wanmeamua mubunge apewe 12m per month na posho ya kikao 220k kila anapo hudhuria kikao. I'll hali watumishi wa halmashauri hasa waalimu huanza na 450k kwa mwenz na Hawaii 3.6m per month. Hao hao ccm ndio wanao panga kua mwaka huu tuwaongezee mshahara hawa jamaa au tuwakaange. Jarib kujielewa mzee sio unaongea vitu ambavyo hauvijui. Ulisha wah kuckia Kenya wanalalamika mishahara? Rwanda je m. Marekani je, ccm kutwa kuongeza majimbo ili kuongeza wabunge. Emagine nchi kama tz waomba misaada tuna kua na wabunge 300+ huku wote walipwe 12 per month na mkopo wa magari 90m huku serikali ikiwalipia 45m. Mwarekan na ukubwa wote ule lakin tuna wafukuzia kwenye idad ya wabunge . Hii nchi ilipaswa kua na wabunge wasizid 50 tena wasomi ili kupunguza matumizi ila ccm hilo kwao halipo. AMKA
ivi kiwango cha juu cha mishahara ni kuanzia tsh ngapi?Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
Haohao ambao wenyewe wanakuwa ni wana kijani? Mnawa overrate sana hao jamaa kwa kuwapa makali ambayo kiuhalisia walikuwa nayo zamani enzi hizo wakiwa wanakula angalau na neutrality kwa kiasi fulani.Sijawatetea hata!
Nataka ujue how deep the problem is!
Wakiingia chadema unadhani watapunguza mapesa kwenye siasa!!?wataamua kujiondoa kwenye comfort zone Ili watumishi wapate faraja!!?
Amka mkuu!
Haha mambo yanatengenezwa na mfumo kabla hata hawajaiwaza CCM wameshajua Nini watafanya kabla!!
Mungu ibariki Tanzania!
Hawa watetezi wa chama sijui huwa wanatuonaje!Kwahyo leo ni 1977?... hao hao unao watetea ndio wanao panga wabunge zaid ya 300 walipwe 12M kwa mwenzi, bima ya daraja la juu, na hawachangii chochote kwenye mafao kama mfanya kazi anae tafutia mapato nchini. Hao hao ccm mwenyekiti wao alie pita alitukalisha miaka 5 bila increment wala daraja. Hao hao ccm ndio wanao pitisha bajeti zote za nchi hadi mshahara wako. Hao hao ndio wanmeamua mubunge apewe 12m per month na posho ya kikao 220k kila anapo hudhuria kikao. I'll hali watumishi wa halmashauri hasa waalimu huanza na 450k kwa mwenz na Hawaii 3.6m per month. Hao hao ccm ndio wanao panga kua mwaka huu tuwaongezee mshahara hawa jamaa au tuwakaange. Jarib kujielewa mzee sio unaongea vitu ambavyo hauvijui. Ulisha wah kuckia Kenya wanalalamika mishahara? Rwanda je m. Marekani je, ccm kutwa kuongeza majimbo ili kuongeza wabunge. Emagine nchi kama tz waomba misaada tuna kua na wabunge 300+ huku wote walipwe 12 per month na mkopo wa magari 90m huku serikali ikiwalipia 45m. Mwarekan na ukubwa wote ule lakin tuna wafukuzia kwenye idad ya wabunge . Hii nchi ilipaswa kua na wabunge wasizid 50 tena wasomi ili kupunguza matumizi ila ccm hilo kwao halipo. AMKA
Na ndio maana watqnzania wanataka kumueka mtu anaye wafaa, ww unauhakika gan kama chadema au act hawayofanya ilhali hawakupewa nafasi? Wapewe nafasi wakishindwa watatafutwa wengine na ndio chachu ya maaendeleo. Think out of the box. Huwezi kumpima mtu kwa kumuangalia tunapima kwa sera na matendo baada ya kupata nafasiSijawatetea hata!
Nataka ujue how deep the problem is!
Wakiingia chadema unadhani watapunguza mapesa kwenye siasa!!?wataamua kujiondoa kwenye comfort zone Ili watumishi wapate faraja!!?
Amka mkuu!
Haha mambo yanatengenezwa na mfumo kabla hata hawajaiwaza CCM wameshajua Nini watafanya kabla!!
Mungu ibariki Tanzania!