Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?

Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
Hilo la kuongezewa ten linajulikana sana
 
Je,baada ya ongezeko,mf mwalimu drj D (shahada) anaanza na kiasi gani Kwa anayefahamu?
 
Kuna mdau ameniuliza,nimeshindwa kumjibu,nashukuru nikipatiwa majibu sahihi badala ya hayo makisio
 
Je,baada ya ongezeko,mf mwalimu drj D (shahada) anaanza na kiasi gani Kwa anayefahamu?
Subiri wa serikali za mitaa waje kukuambia maana wote wanakua the same tifaut ipo kwa afya tu
 
Back
Top Bottom