HIVI KARIBUNI UTASKIA TUMEFUNGUA KIWANDA KIKUBWA KWA AJILI YA KUPIMA MKOJO KWA WINGI ZAIDI.
Nashangaa.Bangi si herb tu, mbona watu wanapanic sana!
Wasomi wemgi wa siku hizi ni vigumu kuwaamini kwa sababu wengi wameziingiza elimu zao kwenye siasaKama ulikwepa shule sasa watu watakusaidiaje mzee. Rudi shule utajua kwa nini mkojo umepatikana na bhangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalamu wa afya jamii forums atupe majibuTuangalie na uwezekano wa kuwapima akili viongozi wetu wa serikali
Agenda ya CCM sasa ni kupima mikojo wapinzanindio maana lisu aligomea ili aibu isimpate