Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi

waliitwa kujisalimisha na kukiri.
Walioitikia ni wachache...waliokataa ni wengi.

Usijidai msahaulifu!
Kwahiyo sheria zetu zinasema uki kiri kosa una achiwa na ukikana kosa una stahili kufungwa?
Yaani kukuiri kutumia cocaine kusiwe big issue, ila kukana matumizi ya bangi kupelekee matumizi mabovu ya pesa ya umma?
 
Hahahaaa...hao mawakili wenu wanawajaza pumba kichwani afu mnakuja kuonesha upumbavu wenu humu, vitu usivyovijua usikurupuke kuvieleza, nani kakudanganya kibali cha mahakama ni cha lazima? kibali kinaombwa pale tu mtuhumiwa hayuko tayari kupima kwa hiari kama vile alivyofanya Lissu, hapo Wema wala hachomoki na hata hao mawakili wake wanalielewa hilo.
 



Kutoka Bush Lawyer! na sasa unataka kuwa Sheikh Yahaya (Mnajimu) wewe una ushahidi gani kuwa Wema alikubali? Una ushahidi gani kuwa Wema aliweka sahihi ya kuridhia mkojo wake utumike kwenye vipimo? Una ushahidi gani kuwa Wema hakulazimishwa kutoa mkojo? Usiongee vitu usivyovijua kama punguwani. Umeona maelezo ya upande mmoja tu, mwandani kashakubana, na matokeo umeshayajua wewe na unaanza kutoa maneno ya khanga.

Kama hujui mambo ya mahakama utulie kama unanyolewa. Ushahidi lazima ufate vifungu vya sheria na pasipo shaka ndiyo unatumika kama kielelezo mahakamani. Ndiyo maana mahakani kuna maridhiano. Ujinga umekujaa ndiyo maana unashindwa hata kufikiri critically unaacha wakina Polepole wawashikie akili. Mafunzo ya chipukizi yamewafanya mmekuwa kama mazezeta.
 
Watanzania watu wa ajabu sana, kwahiyo majadiliano ya makinikia tumeachana nayo tunajadili mkojo wa wema!!
 
Sidhani kama ni jambo jema kuwataja kwa majina wataalamu wetu. Mkemia aajiri wanasheria watakao kuwa wanasimama mahakamani na kama kuna haja ya kuwahoji wahojiwe kwa siri, watalamu wetu wanakuwa katika risk ya kulipiziwa visasi,
Upo sahihi kabisa, hasa hawa wakemia wa kitengo cha madawa ya kulevya.
 
Napata mashaka na vijana humu mnaotetea uovu, cjui ni cdm au nyinyiemu. Nahisi mkipimwa mikojo yenu karibu wote mtakutwa na hiyo kitu ya Arusha, hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu shaidi Mkemia anapaswa kwenda shule tena maana hajui upande mwingine wa matumizi ya bhangi kama dawa ya uponyaji kwa mwili wa binadamu. Yafuatayo ni mafao
While you might have heard many people say that weed can cause diseases, scientific researches and studies show that it can actually cure many diseases and physical problems. From helping fight Glaucoma to controlling epileptic seizures to helping prevent cancer from spreading to slowing Alzheimer’s to easing multiple sclerosis pain to reducing Hepatitis C side-effects to treating inflammatory bowels to relieving arthritis pain to helping you get through chemo to a lot more, scientific researches confirm the effectiveness of marijuana.

You might be wondering if medical marijuana has so many benefits, why isn’t it legal already? Well, the big pharmaceutical companies can crumble down if a naturally growing, dirt-cheap plant gets legal and starts curing diseases which can otherwise only be cured with their expensive medicines at this point. Despite all that, medical cannabis is becoming legal in most of the states very quick
Smoking weed isn’t actually that bad for your lungs, and smokers actually have improved lung function when compared to both cigarette smokers – and people who have never smoked either.

The researchers, writing in the Journal of the American Medical Association, say that the big drags taken by weed smokers may actually ‘train’ lungs to be more efficient.

We investigated the effects of cannabis smoked naturalistically on schizotypy and divergent thinking, a measure of creativity.

Smoking weed helps patients give up opiates such as heroin, a new study has found.

A study in the journal Obesity found that regular weed smokers are less likely to be obese than non-smokers.
 
Wema anatafutwa kama anatumia je waliokiri kuwa wanatumia kila TID mbona wameachiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni shida sana, mateja wa madawa ya kulevya wanahamasishwa waende kwenye vituo vinavyotoa tiba hizo tena bure kabisa. Basi na hao mateja wafunguliwe mashtaka pia. Kusiwena double standard sababu kafanya kosa mtu fulani.
 
Haya basi kamfungeni si memkuta ndio mtanzania nayekula ngada peke yake
 
hivi zile nchi zilizo ruhusu matumizi ya bangi kuna chochote tunawazidi japo huku bangi imekatazwa?
Huyu Mtumiaji mbona hana madhara yaliyotajwa na Shahidi? Pombe ni Dawa ya kulevya, Sigara ni dawa ya kulevya. U hakika hiyo sample ilionyesha Bangi na si sigara au viroba ni upi? Chemical composition ya Bangi kwenye Mkojo ni kiasi gani tofauti na Valium?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…