Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

Huyo mkenya kama kaingia Kenya ndani ya siku 3 hizi ikiwemo na siku aliyopimwa basi atakuwa alijihisi ana ugonjwa tayari akaona atapata tabu akijipeleka hospital hapa TZ bora akahudumiwe kwao.
 
Duh! Kule Tanzania japo ndugu zetu wapo kimya lakini sijui inakuaje watu wanatuibukia na virusi wakitokea huko, leo tena kuna taarifa za Mkenya aliyetokea huko amepimwa na kubainika kakibeba mazima mazima kutoka huko na kuja nacho hivi hivi....
=======================

Out of the five three are Kenyans while two are foreign nationals. Three of them had travelled; one each from Tanzania, UK and UAE.

The CS announced the government has closed some quarantine facilities such as trademark hotels.

Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184
I tell people like joto la jiwe that if Tanzania had a better testing capacity their numbers would be way higher but they no listen.
 
Boss are we competing for big numbers or what ?
In my capacity I have never seen someone with corona Virus symptoms, yaani mamia kwa mamia ya ndugu zangu hakuna hata case1, kwa nini utulazimishie ugonjwa?
I tell people like joto la jiwe that if Tanzania had a better testing capacity their numbers would be way higher but they no listen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi kipya au cha ajabu.
Sote tunajua Corona ipo Tanzania, na wapo watu wengi wameathirika na wengine wengi zaidi huenda wameathirika lakini hawajathibitishwa rasmi kupitia vipimo.
 
Walitangaza kufunga mipaka wakaja humu kuruka ruka kama kawaida yao eti wamefunga mipaka yote,
Labda walikuwa wanamaanisha mipaka ya nyau 😂
Acha ujinga ,mkenya anaruhusiwa kuingia through regional borders but lazima quarantine na prices zote za 14 daysin quarantine ni wewe utajilipia
 
Duh! Kule Tanzania japo ndugu zetu wapo kimya lakini sijui inakuaje watu wanatuibukia na virusi wakitokea huko, leo tena kuna taarifa za Mkenya aliyetokea huko amepimwa na kubainika kakibeba mazima mazima kutoka huko na kuja nacho hivi hivi....
=======================

Out of the five three are Kenyans while two are foreign nationals. Three of them had travelled; one each from Tanzania, UK and UAE.

The CS announced the government has closed some quarantine facilities such as trademark hotels.

Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184
Hao maafsa wenu ambao wapo mpakani ndio wana Korona. Nendeni mkawapime
 
Huyo mkenya alikua na corona zamani wasitusingizie sie
Yupo sahihi, sisi tz hatupo serious na hili gonjwa!Kipimo cha kujua nchi ipo serious kiasi gani angalia idadi ya wagonjwa wanaotajwa. Burundi hawana mipango yeyote na kuzuia Corona na ligi yao inaendelea kama kawaida ila mpaka sasa hivi wana case moja tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya mambo bhana wacha tuendelee kutazama tamthilia sisi.
 
Alitoka nao kwenu so kaurudiaha mahala pake
Duh! Kule Tanzania japo ndugu zetu wapo kimya lakini sijui inakuaje watu wanatuibukia na virusi wakitokea huko, leo tena kuna taarifa za Mkenya aliyetokea huko amepimwa na kubainika kakibeba mazima mazima kutoka huko na kuja nacho hivi hivi....
=======================

Out of the five three are Kenyans while two are foreign nationals. Three of them had travelled; one each from Tanzania, UK and UAE.

The CS announced the government has closed some quarantine facilities such as trademark hotels.

Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hawamkatazi, nini maana ya kufunga mipaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka unafunga kuzuia wageni, ila watoto wako wakirudi unawaruhusu ila kwa kuwapeleka karantini moja kwa moja.
Hatufanyi uzembe kama mliofanya, Mtanzania anatokea Dubai, anaaingia zake kitaa Dar siku sita anatema mbegu za kirusi kisha huyooo mpaka Sukuma land kule Mwanza, muda wote anaachia kirusi.
Hivi umemskliza waziri wako leo, amekua mpole maana kiaina fulani ameanza kuelewa nini kianendela duniani, unajua Watanzania huwa mko very slow, mambo mengi huwa inawachukua muda mrefu sana kuwaingia akilini. Waziri wenu amewaambia anahofia maambukizi ya ndani kwa ndani baina yenu. Jiulize anamkamatia muathirika Mwanza na jinsi hiki kirusi kinavyoambukizwa kama moto wa porini.
Sasa mpaka taarifa za watu waliosheheni Corona wanatokea Tanzania na kutuibukia huku.
Tatizo uwezo wenu wa kupima ni mdogo sana, hivyo mnakwenda kiubishi tu na siku zinasonga.
 
I tell people like joto la jiwe that if Tanzania had a better testing capacity their numbers would be way higher but they no listen.

The first three weeks, they had only managed a paltry 300 tests. Their biggest challenge is ability to comprehend the magnanimity of this pandemic, they keep on referring to it as "kaugonjwa".
Just imagine Rwanda, size of a province in Kenya, has more than a hundred confirmed cases, at least them they have ability to test large number at the same time.
 
Back
Top Bottom