mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Mimi nna wasiwasi na uelewa viongozi wetu hapa Tz trump analalamikia WHO kwamba walichelewa kueleza dunia kuhusu hu ugonjwa ili wafunge mipaka mapema.......ila wakwetu duh sidhani hata kama wameshajua hizi model mbili mpya za kupambana na Corona zinazo tumika kwasasa dunia nzimaMpaka unafunga kuzuia wageni, ila watoto wako wakirudi unawaruhusu ila kwa kuwapeleka karantini moja kwa moja.
Hatufanyi uzembe kama mliofanya, Mtanzania anatokea Dubai, anaaingia zake kitaa Dar siku sita anatema mbegu za kirusi kisha huyooo mpaka Sukuma land kule Mwanza, muda wote anaachia kirusi.
Hivi umemskliza waziri wako leo, amekua mpole maana kiaina fulani ameanza kuelewa nini kianendela duniani, unajua Watanzania huwa mko very slow, mambo mengi huwa inawachukua muda mrefu sana kuwaingia akilini. Waziri wenu amewaambia anahofia maambukizi ya ndani kwa ndani baina yenu. Jiulize anamkamatia muathirika Mwanza na jinsi hiki kirusi kinavyoambukizwa kama moto wa porini.
Sasa mpaka taarifa za watu waliosheheni Corona wanatokea Tanzania na kutuibukia huku.
Tatizo uwezo wenu wa kupima ni mdogo sana, hivyo mnakwenda kiubishi tu na siku zinasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app