Napenda niwashaur tu wakenya na SEREKAL ya Kenya katika utoaji wa taarifa Yao juu wa watu walio patikana na virus vya Corona na kusema kwamba wametokea Tanzania ni Bora wangeweka wazi wametokea wap na wamepitia mpaka gani. ili kutoa mashaka ambayo baadh ya watz wamesha Anza kua nayo juu ya ripot Yao
Na vip walikua ni raia wa Kenya au watanzania ichi kitu wanatakiwa watuweke wazi ili tufaham sababu habari zingine unaweza kutoa Kama habari ya kawaida but ikawa na athar kubwa hapo baadae
Ndio tunakubal Corona ipo Tanzania na East Africa mzima tayar tuna wagonjwa Ila kwa ripot ya kila nchi ina number ambazo zimekua rikod za waathirika hatukatai Kuna watu huenda bado hawaja rikodiwa iwe Kenya au Tanzania lakini madhui ya ripot ya Kenya kusema Kuna watu wametoka Tanzania na wote wamethibitika kua na Corona huenda baadh ya watu kupelekea wakaamin kwamba Tanzania Ina mlipuko makubwa Sana wa Corona kuliko tunavyo tangaziwa na wizara husika. Na hii huenda ikapelekea Tanzania Kama sehemu hatar sababu ya mlipuko
Napenda Tena kusisitiza hao watu walio kutwa na Corona na kusadikika wametoka Tanzania wamepitia wapi na ilikuwa ni lin walitoka Tanzania kwenda Kenya kufanya nn?
Nakubal Tanzania Kuna watu wapo mitaan na huenda Wana Corona sababu Jana wazir kasema Kuna maambukiz ya ndani so huenda tunayo maambukiz tayar. Ila Kenya itoe huu utata sababu now ripot Yao itaonekana haina mazara but baadae inaweza kua shida kubwa kwa taifa letu
Sent using
Jamii Forums mobile app