kama umemskliza waziri wako wa afya leo, na kama una uwezo wa kudadavua mambo, basi nitakushangaa ukiandika hicho ulichokiandika hapo.
Neither have I. I'm simply saying, Tanzania's figure is bigger than what's being reported.
Watanzania wote tupimwe jamani
Serikali igharamieChangia pesa za vipimo utapimwa tu
kwani yeye ndo kamuambikiza?!?Ivi haiwezekani uyu anayesababisha matatizo kwa nchi jirani akashitakiwa the hague??
Nadhan kumuambukiza mwenzio kwa uzembe wako au makusudi ni kosa na ni muda muafaka jiwe apelekwe kwa court
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi inaficha ukweli wa takwimu za huu ugonjwa!!
Neither have I. I'm simply saying, Tanzania's figure is bigger than what's being reported.
Serikali igharamie
Wamegundua kuwa haxisaidi kitu chochote ndio maana hawazitumii. Sasa hivi America imesema watu waanze kutoka nje ila wavae barakoa maana wamefungiwa ndani na Covid-19 ndio ana pamba motoMimi nna wasiwasi na uelewa viongozi wetu hapa Tz trump analalamikia WHO kwamba walichelewa kueleza dunia kuhusu hu ugonjwa ili wafunge mipaka mapema.......ila wakwetu duh sidhani hata kama wameshajua hizi model mbili mpya za kupambana na Corona zinazo tumika kwasasa dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!Hahahaha hapa ndio huwa mnanifurahisha,mnakurupukia habari msizotaka kujua vyanzo vyake ila tu kuingiza siasa. Huyo mkenya si wale waliokamatwa tarime au?kama sio kaingiaje kenya wakati mipaka ya kenya imefungwa?
Tukiongelea burundi hawana presha kama Tanzania sababu ya watu kama nyie mnaotaka kutajiwa namba kubwa kuliko uhalisia
Thanks dear, mijitu mingine inaboa ajabuHahahaha hapa ndio huwa mnanifurahisha,mnakurupukia habari msizotaka kujua vyanzo vyake ila tu kuingiza siasa. Huyo mkenya si wale waliokamatwa tarime au?kama sio kaingiaje kenya wakati mipaka ya kenya imefungwa?
Tukiongelea burundi hawana presha kama Tanzania sababu ya watu kama nyie mnaotaka kutajiwa namba kubwa kuliko uhalisia
Tutapimwa kupitia wake zetu kama tunavyopimwaga UKIMWI!Watanzania wote tupimwe jamani
Upo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!
Thanks dear, mijitu mingine inaboa ajabu
Kupima ni shughuli, wacha tubaki hivihiviZile mbwembwe za kupima nchi nzima zillishia wapi?
Kama hujui nini kinafanyika, bora unyamaze wacha kujiaibisha, tangu lini ugonjwa wa mlipuko ukajificha?, kama hatupimi, kwanini wagonjwa wasijazane katika Hospitali zetu kwenda kutibiw, au hata kuumwa watanzania wenye maambukizi hawaumwi kwahiyo hawaendi HospitalsUpo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!
wanaligicua unamaanisha niniLazima iwe Tanzania Kuna Jambo wanaligicua kuhusu Corona. Ni muda tu yawekwe wazi.