Mbona hospitals hazijafurika wagonjwa wa coronaI tell people like joto la jiwe that if Tanzania had a better testing capacity their numbers would be way higher but they no listen.
Hizo habari za wa Tz kuingia Kenya wala siziamini, i dont believe your medias when reporting abt Tz. Mnapenda kutudepict kwa habari za uongo and just negative.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtatupiku
Ugonjwa wenyewe ndio hauna tiba na wengi wetu watapona wenyewe bila kufikishwa hospitalini, ila ni vyema kuwatafta wote walioambukizwa na kuwaweka kwenye isolation ile kujaribu kuzuia maambukizi zaidi kwenye communities ambapo kuna wazee wengi na watu vulnerable. Sasa na kesi zetu chache haikai big issue lakini pale maambukizi yatapindukia na kuzidi uwezo wa hospitali zetu ndipo tutaanza kumwagika kama nzi kwa kuwa kuna wale watakua wanahitaji huduma za hospitali lakini hospitali zetu hazitakua na uwezo wa kuwahudumia.hii ndo shida inazozikumba nchi za magharibi...sasa nchi zetu za afrika tuna uwezo wa kubadilisha mkondo ili tusifike hapo na hili litafanyika kwa kupima na kupima na kupima zaidi na pale ambapo patapatikana muadhirika kuwasaka close contacts wote na kuwaweka kwenye quarantine. Tuache ushabiki wa kitoto kwenye hiliHata tukipimwa tuna hizo dawa? Je hospital na vifaa vya kutosha kuhudumia hao mamia ya wagonjwa au ndo mtaanza kulalamika upya kuhusu ubovu wa huduma za afya. Hawa wakenya hapa wanatoa stories nzuri nzuri nenda majukwaa yao halisi ukajionee hali ilivyo mbovu wanalalamika balaa
Hata tukipimwa tuna hizo dawa? Je hospital na vifaa vya kutosha kuhudumia hao mamia ya wagonjwa au ndo mtaanza kulalamika upya kuhusu ubovu wa huduma za afya. Hawa wakenya hapa wanatoa stories nzuri nzuri nenda majukwaa yao halisi ukajionee hali ilivyo mbovu wanalalamika balaa
Naona mnahakikisha "kutowapelekea wazee" kwa kuua raia zenu.Ni kweli dawa hazipo, ila umuhimu wa kupima ni kuhakikisha unajijua na unakwepa kuwapelekea wazee hili gonjwa, kwa akili zako hizi ina maana muambukizane tu kisa dawa hazipo, thubutu uone jinsi mtawapoteza wazee wote kama ilivyo kule Italy, wanadondoka kwa maelfu.
Ama kwa kweli shule zenu hizo zina kasoro ya kufa mtu.....kuna yule bibi FaizaFoxy huwa ana kamsemo fulani maarufu kuhusu shule zenu.
Mamii nilikutag uje umsaidie waziri Ummy kutoa elimu kwa Watanzania, hehehe.Naona mnahakikisha "kutowapelekea wazee" kwa kuua raia zenu.
Mamii nilikutag uje umsaidie waziri Ummy kutoa elimu kwa Watanzania, hehehe.
Hehehe mamii hapa nilitegemea uongoze, ila umeleta yale mapambano ya mapenzi baina yangu na wewe, haya......wacha nisubirie leo tumefikia wangapi maana kwetu tunapima 500 kwa siku.Badala ya wewe kutoa elimu kwenu ambako mnauana kwa curfew ya Corona zaidi ya Corona anavyowaua. Majanga!
Serikali yenu Ina usiri mwingine mno na sababu kuu ni kuwa wananchi wake ni maboya pia. Kwa mfano;
Wewe jamaa uelewa wako ni finyu sana...huu ugonjwa unatofauti sana na magonjwa mengine kama malaria,typhoid etc.lakini unakalibia kufanana na mafua hivi, so sababu ambazo zinasababisha kusiwe na visa vingi vya huu ugonjwa ni ya kua hunamaumivu isipokua kupiga chafya kikohozi na fever....kwa hivyo namba inawezakua kubwa lakini watu wamenyamaza nao mwiliniKama hujui nini kinafanyika, bora unyamaze wacha kujiaibisha, tangu lini ugonjwa wa mlipuko ukajificha?, kama hatupimi, kwanini wagonjwa wasijazane katika Hospitali zetu kwenda kutibiw, au hata kuumwa watanzania wenye maambukizi hawaumwi kwahiyo hawaendi Hospitals
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospitals zikifurika hata serilali ifiche vipi itajulikana tu, sababu wanaofanya kazi ni common wana wa nchi na wanaowapeleka wagonjwa ni common people, ingeshakuwa reported.Serikali yenu Ina usiri mwingine mno na sababu kuu ni kuwa wananchi wake ni maboya pia. Kwa mfano;
View attachment 1415057
Mwafrika aende hospitali kisa mafua???? Labda wale wa Masaki.Hospitals zikifurika hata serilali ifiche vipi itajulikana tu, sababu wanaofanya kazi ni common wana wa nchi na wanaowapeleka wagonjwa ni common people, ingeshakuwa reported.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli dawa hazipo, ila umuhimu wa kupima ni kuhakikisha unajijua na unakwepa kuwapelekea wazee hili gonjwa, kwa akili zako hizi ina maana muambukizane tu kisa dawa hazipo, thubutu uone jinsi mtawapoteza wazee wote kama ilivyo kule Italy, wanadondoka kwa maelfu.
Ama kwa kweli shule zenu hizo zina kasoro ya kufa mtu.....kuna yule bibi FaizaFoxy huwa ana kamsemo fulani maarufu kuhusu shule zenu.
Ugonjwa wenyewe ndio hauna tiba na wengi wetu watapona wenyewe bila kufikishwa hospitalini, ila ni vyema kuwatafta wote walioambukizwa na kuwaweka kwenye isolation ile kujaribu kuzuia maambukizi zaidi kwenye communities ambapo kuna wazee wengi na watu vulnerable. Sasa na kesi zetu chache haikai big issue lakini pale maambukizi yatapindukia na kuzidi uwezo wa hospitali zetu ndipo tutaanza kumwagika kama nzi kwa kuwa kuna wale watakua wanahitaji huduma za hospitali lakini hospitali zetu hazitakua na uwezo wa kuwahudumia.hii ndo shida inazozikumba nchi za magharibi...sasa nchi zetu za afrika tuna uwezo wa kubadilisha mkondo ili tusifike hapo na hili litafanyika kwa kupima na kupima na kupima zaidi na pale ambapo patapatikana muadhirika kuwasaka close contacts wote na kuwaweka kwenye quarantine. Tuache ushabiki wa kitoto kwenye hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda niwashaur tu wakenya na SEREKAL ya Kenya katika utoaji wa taarifa Yao juu wa watu walio patikana na virus vya Corona na kusema kwamba wametokea Tanzania ni Bora wangeweka wazi wametokea wap na wamepitia mpaka gani. ili kutoa mashaka ambayo baadh ya watz wamesha Anza kua nayo juu ya ripot Yao
Na vip walikua ni raia wa Kenya au watanzania ichi kitu wanatakiwa watuweke wazi ili tufaham sababu habari zingine unaweza kutoa Kama habari ya kawaida but ikawa na athar kubwa hapo baadae
Ndio tunakubal Corona ipo Tanzania na East Africa mzima tayar tuna wagonjwa Ila kwa ripot ya kila nchi ina number ambazo zimekua rikod za waathirika hatukatai Kuna watu huenda bado hawaja rikodiwa iwe Kenya au Tanzania lakini madhui ya ripot ya Kenya kusema Kuna watu wametoka Tanzania na wote wamethibitika kua na Corona huenda baadh ya watu kupelekea wakaamin kwamba Tanzania Ina mlipuko makubwa Sana wa Corona kuliko tunavyo tangaziwa na wizara husika. Na hii huenda ikapelekea Tanzania Kama sehemu hatar sababu ya mlipuko
Napenda Tena kusisitiza hao watu walio kutwa na Corona na kusadikika wametoka Tanzania wamepitia wapi na ilikuwa ni lin walitoka Tanzania kwenda Kenya kufanya nn?
Nakubal Tanzania Kuna watu wapo mitaan na huenda Wana Corona sababu Jana wazir kasema Kuna maambukiz ya ndani so huenda tunayo maambukiz tayar. Ila Kenya itoe huu utata sababu now ripot Yao itaonekana haina mazara but baadae inaweza kua shida kubwa kwa taifa letu
Sent using Jamii Forums mobile app
The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners.
Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other two arrived in the country from the UK and UAE respectively.