Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Mkuu ushauri wangu huwa ni wa Sayari nyingine, tumia akili na vyanzo vyako tafuna mashost zake wote uliowakuta nao pale police, kisha hakikisha anajua, watagombana na ushost kwishaaa ila pia unakuwa umepoza hasira.

Ukiona mwanamke anapeleka mizozo ya nyumban police jua sio mke mzuri.
 
Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?

Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.

Msamehe. Itisheni kikao kitachoongozwa na watu mnaowaheshimu kwa lengo moja tu la kuombana msamaha na kusameheana. Una makosa kwa kumshambulia mkeo, haifai. Wewe ni chanzo cha yeye kwenda polisi. Omba msamaha kwa kipigo usione haya. Kisha muendelee mbele sahau yaliyopita. uzuri wanaume friji zetu kubwa na zinagandisha, huwezi hata kuweka kinyongo ukisha aamua kusahau
 
Yeye anajiona ana haki sana, japo kampiga, wanaume baadhi niwanafiki sana, hapo utakuta ndugu zake wanamperemba aachane naye, na huenda kosa lilikuwa lake.
 
Umembutua mkeo unaona sawa, kwanza ulitakiwa UFUNGWE JELA.

Tena alivyo mwema akaamua kuifuta kesi licha ya ujinga wako, bado tena unaleta GUBU!

Haya TOROKA nenda ukajifiche gesti kama ulivyoshauriwa na hao wahuni hapo juu!
Wanamshika masikio wenzie wasio jielewa, tena huenda hao wanaomshauri wao wenyewe wadundwa na wake zao .
 
Mimi nakushauru urudi nyumbani kwani nyumba si wewe na mkeo tuu. Kuna wanafamilia muhimu sana wanaofànya muishi kama mume na mke.
Rudi kwanza utanishukuru. Ukirudi niambie nikushauri cha kuongea kàma hutojali.
 
Jini Hilo.Atkuu na resha na Sukari.Pia kupiga mwanamke karne hii ni ushamba.Ushauri wangu.OA mke mwingine.Inasaidi akikure unaenda kwa mwingine,Akikasirika na kuleta fuja waneleteana Wenyewe fujo wewe unakuwa msuluhishi ambaye ni chanzo cha ugomvi
 
Jini Hilo.Atkuu na resha na Sukari.Pia kupiga mwanamke karne hii ni ushamba.Ushauri wangu.OA mke mwingine.Inasaidi akikure unaenda kwa mwingine,Akikasirika na kuleta fuja waneleteana Wenyewe fujo wewe unakuwa msuluhishi ambaye ni chanzo cha ugomvi
Kwa hiyo utaacha na kuoaa wanawake wangapii.. Jamaa ajicontrol tuu wanawake ni watu wa kukeraa always.
 
Si wanasema hayashauriki? Sasa leo nakushauri baba yangu mzazi aliwahi kuniambia ,mkeo ikitokea kakulaza ndani ukitoka awe kashaondoka . Na kwa scenario yako inaonekana hao mashoga zake walimpa chachandu la kutosha akajaa hana akili huyo mkeo kashikiwa na mashoga zake ,ukisamehe haraka umeisha watajiona washindi cha kufanya dengua mwanzo mwisho ,anzisha visa visa ongea maneno mazito na mashoga piga marufuku , sasa jidai ooooh baby wawoooooh im sorrrey honeeey ,

Mamaqe sorry ya nyokwe
 
Kwa hiyo utaacha na kuoaa wanawake wangapii.. Jamaa ajicontrol tuu wanawake ni watu wa kukeraa always.
Mkuu,Mimi ninaelewa nilicoshauri.Ukiwa na mke mmoja ndo unakuwa na muda na nguvu ya kupiga Mke.Wakiwa wengi watapigana wenyewe tu.Wewe unaangalia yule ambay anakua Furaha ndio unadili naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…