Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Huyu uchaguzi ujao tumpe mkewe uenyekiti 😹😹Alete lipa namba namie nna kisalio hapa
Na amwambie tutamsindikiza kuchukua fomu kwa maandamano km Mbowe 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu uchaguzi ujao tumpe mkewe uenyekiti 😹😹Alete lipa namba namie nna kisalio hapa
Kwahiyo baba yako kukufundisha upumbafu ndiyo akili? Badala yakukwambia hakikisha matatizo yenu yanaishia ndani! Unazani waliobuni kutenga chumba na sebule walikuwa na akili kama za baba yako? Wangekuwa hivyo ndoa zisingekuwepo. Jinga mkubwa mkubwa weweUsingeandika tusingejua kiwango cha ujinga wako.
Kama wewe ambavyo baba yako kasingiziwa ni wake.Kwahiyo baba yako ni malaika, halafu wazee wanafiki kama huyo ndiyo hao unakuta hata watoto anaosema wake wanakuwaga ni walezi tu kujifanya ubabe
Wanamtetea eti, je mkanda huo mtu anakata roho anaanza msingizia shetaniWewe ingekuwa mi ndo huyo mkeo, ningempa na buku 10 poti akushughulikie vizuri ili ukirudi uraiani uwe raia mwema. Huna adabu, unapigaje mkeo na mkanda ukimuua??
Mwambie mkeo anitumie namba nimtumie pesa ya soda, kanifurahisha sana’aaa.!! 😹🤣
Hali zenu?
Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.
Kumbe mashosti zake wakawa wamemshauri akimbilie kushtaki polisi, akaenda kituo cha police kushtaki,baada kama ya lisaa hivi nikasikia nagongewa na balozi wa nyumba kumi akiwa kaambatana na Askari polisi wawili, wakaniambia nahitajika kituo cha police kwani mke wangu kaenda kushtaki kuwa nimempiga.
Sikuwa mbishi nikawaomba nibadili nguo na niweke mazingira ya nyumba sawa kwani watoto na dada wa kazi hawapo.
Basi bana nikafika kituo cha police pale kaunta nikamkuta wife kakaa yuko na mashosti zake kama wawiili nikachukuliwa maelezo yangu kisha nikafunguliwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili, nikaingizwa lock up, kwa sababu ilikua usiku afande mmoja hivi akaniambia kosa linadhaminika kama kuna jamaa zangu wako around niwacheck waje wanidhamini
Lakini pia akanishauri kwa jinsi anavyoona nina hasira bora nilale tu mle lock up kuepusha madhara kwani nikisema nitoke usiku ule ningeweza kumdhuru zaidi wife na pale lock up ni sehemu salama zaidi. Basi nikawa nimemuelewa yule afande nikatulia mpaka asubuhi,kulivyokucha nikaomba simu yangu pale kaunta nikawapigia jamaa zangu wakaja wakaniwekea dhamana.
Hapa nilipo toka nitoke lock up nimeona nikae kwanza kwa jamaa angu kujiepusha na huyo mwanamke,ameisha enda police mwenyewe kuwaambia hana nia ya kuendelea na hiyo kesi hivyo anaomba ifutwe, Askari kama kawaida wamemtoa pesa kidogo.
Sasa toka jana naona ananitumia watu kuja kumuombea msamaha kuwa alikosea kunilaza lock up.
Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?
Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.
Familia yangu sio ya kiswahili swahili kama yako, ni wazee waliokuwa wanajielewa.Kama wewe ambavyo baba yako kasingiziwa ni wake.
Sept nilikuwa HAPO kawe mkuu saa Tisa mpaka 10..NDUGU wakaja ntoa nkarudi home nkabadili nguo bkaelekea clubHali zenu?
Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.
Kumbe mashosti zake wakawa wamemshauri akimbilie kushtaki polisi, akaenda kituo cha police kushtaki,baada kama ya lisaa hivi nikasikia nagongewa na balozi wa nyumba kumi akiwa kaambatana na Askari polisi wawili, wakaniambia nahitajika kituo cha police kwani mke wangu kaenda kushtaki kuwa nimempiga.
Sikuwa mbishi nikawaomba nibadili nguo na niweke mazingira ya nyumba sawa kwani watoto na dada wa kazi hawapo.
Basi bana nikafika kituo cha police pale kaunta nikamkuta wife kakaa yuko na mashosti zake kama wawiili nikachukuliwa maelezo yangu kisha nikafunguliwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili, nikaingizwa lock up, kwa sababu ilikua usiku afande mmoja hivi akaniambia kosa linadhaminika kama kuna jamaa zangu wako around niwacheck waje wanidhamini
Lakini pia akanishauri kwa jinsi anavyoona nina hasira bora nilale tu mle lock up kuepusha madhara kwani nikisema nitoke usiku ule ningeweza kumdhuru zaidi wife na pale lock up ni sehemu salama zaidi. Basi nikawa nimemuelewa yule afande nikatulia mpaka asubuhi,kulivyokucha nikaomba simu yangu pale kaunta nikawapigia jamaa zangu wakaja wakaniwekea dhamana.
Hapa nilipo toka nitoke lock up nimeona nikae kwanza kwa jamaa angu kujiepusha na huyo mwanamke,ameisha enda police mwenyewe kuwaambia hana nia ya kuendelea na hiyo kesi hivyo anaomba ifutwe, Askari kama kawaida wamemtoa pesa kidogo.
Sasa toka jana naona ananitumia watu kuja kumuombea msamaha kuwa alikosea kunilaza lock up.
Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?
Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.
wewe ni Mimi mtupuYaani siku wife akifanya huo ujinga anajua kabisa ataondoka kama alivyokuja. Na sijali tumefunga ndoa au vipi, nashangaa unaomba ushauri wakati jibu liko wazi ni kipi cha kufanya
Wapumbavu wanaotetea, hivi wanafikiri mauaji yanatokeaje?Wanamtetea eti, je mkanda huo mtu anakata roho anaanza msingizia shetani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza nikuambie,marafiki wanauzana,mkeo anauzwa na anatombwa na jamaa mmoja anaitwa Richard na waliomuunganisha ni marafiki zake hao,achana na hiyo ndoa haraka
MKUUHali zenu?
Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.
Kumbe mashosti zake wakawa wamemshauri akimbilie kushtaki polisi, akaenda kituo cha police kushtaki,baada kama ya lisaa hivi nikasikia nagongewa na balozi wa nyumba kumi akiwa kaambatana na Askari polisi wawili, wakaniambia nahitajika kituo cha police kwani mke wangu kaenda kushtaki kuwa nimempiga.
Sikuwa mbishi nikawaomba nibadili nguo na niweke mazingira ya nyumba sawa kwani watoto na dada wa kazi hawapo.
Basi bana nikafika kituo cha police pale kaunta nikamkuta wife kakaa yuko na mashosti zake kama wawiili nikachukuliwa maelezo yangu kisha nikafunguliwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili, nikaingizwa lock up, kwa sababu ilikua usiku afande mmoja hivi akaniambia kosa linadhaminika kama kuna jamaa zangu wako around niwacheck waje wanidhamini
Lakini pia akanishauri kwa jinsi anavyoona nina hasira bora nilale tu mle lock up kuepusha madhara kwani nikisema nitoke usiku ule ningeweza kumdhuru zaidi wife na pale lock up ni sehemu salama zaidi. Basi nikawa nimemuelewa yule afande nikatulia mpaka asubuhi,kulivyokucha nikaomba simu yangu pale kaunta nikawapigia jamaa zangu wakaja wakaniwekea dhamana.
Hapa nilipo toka nitoke lock up nimeona nikae kwanza kwa jamaa angu kujiepusha na huyo mwanamke,ameisha enda police mwenyewe kuwaambia hana nia ya kuendelea na hiyo kesi hivyo anaomba ifutwe, Askari kama kawaida wamemtoa pesa kidogo.
Sasa toka jana naona ananitumia watu kuja kumuombea msamaha kuwa alikosea kunilaza lock up.
Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?
Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.
Kwahiyo bora afe wamnyongee ndani kisa atakuwa mpumbafu? Yaani kapigwa eti anatoa siri? Wewe una mama au dada yako ukute anafumuliwa halafu utampongeza mpigaji?Ni mwanamke mpumbavu pekee anaweza kutoa matatizo ya familia yake nje ya familia.
Usichukulia poa suala hili, Wala usihadaike kabisa na machozi yake ya Mamba.Hali zenu?
Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.
Kumbe mashosti zake wakawa wamemshauri akimbilie kushtaki polisi, akaenda kituo cha police kushtaki,baada kama ya lisaa hivi nikasikia nagongewa na balozi wa nyumba kumi akiwa kaambatana na Askari polisi wawili, wakaniambia nahitajika kituo cha police kwani mke wangu kaenda kushtaki kuwa nimempiga.
Sikuwa mbishi nikawaomba nibadili nguo na niweke mazingira ya nyumba sawa kwani watoto na dada wa kazi hawapo.
Basi bana nikafika kituo cha police pale kaunta nikamkuta wife kakaa yuko na mashosti zake kama wawiili nikachukuliwa maelezo yangu kisha nikafunguliwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili, nikaingizwa lock up, kwa sababu ilikua usiku afande mmoja hivi akaniambia kosa linadhaminika kama kuna jamaa zangu wako around niwacheck waje wanidhamini
Lakini pia akanishauri kwa jinsi anavyoona nina hasira bora nilale tu mle lock up kuepusha madhara kwani nikisema nitoke usiku ule ningeweza kumdhuru zaidi wife na pale lock up ni sehemu salama zaidi. Basi nikawa nimemuelewa yule afande nikatulia mpaka asubuhi,kulivyokucha nikaomba simu yangu pale kaunta nikawapigia jamaa zangu wakaja wakaniwekea dhamana.
Hapa nilipo toka nitoke lock up nimeona nikae kwanza kwa jamaa angu kujiepusha na huyo mwanamke,ameisha enda police mwenyewe kuwaambia hana nia ya kuendelea na hiyo kesi hivyo anaomba ifutwe, Askari kama kawaida wamemtoa pesa kidogo.
Sasa toka jana naona ananitumia watu kuja kumuombea msamaha kuwa alikosea kunilaza lock up.
Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?
Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.
Na katika kujielewa huko kuna mzee alijielewa zaidi kuliko baba ako ndio ukapatikanaFamilia yangu sio ya kiswahili swahili kama yako, ni wazee waliokuwa wanajielewa.
Mkuu unafahamu maana ya neno familia???,Kwahiyo bora afe wamnyongee ndani kisa atakuwa mpumbafu? Yaani kapigwa eti anatoa siri? Wewe una mama au dada yako ukute anafumuliwa halafu utampongeza mpigaji?
Hela ya kula asiache ili huyo mwanamke ajue umuhimu wa babaInabd usimjibu kwa lolote kwa cmu au kwa mdomo safr au kaa mahali kwa mwez mzma , kam una watoto acha ela ya kula .
Kitendo cha kukaa na watu wasio sehemu ya familia kuamua kumjadili mwenza wako no matter kafanya nini wanafanya wapumbavu.Usichukulia poa suala hili, Wala usihadaike kabisa na machozi yake ya Mamba.
Picha alowapa Rafiki zake kukuhusu wewe, HAITAKAA kubadilika Kamwe vichwan MWAO.
Na ni wazi, Mkeo ni MPUMBAVU Hana akili, na usishangae Kila kitu Cha kwenu ndan kinajulikana Kwa rafiki zake.
Kuna moja waweza lifanya.
Rudi home ila usile ,Wala kuoga, Wala Kukuomba afue, Wala akuandalie chochote PIGA STOP na hakikisha ni STOP ya herufi kubwa ,sana sana akijisemesha mwambie SIHITAJI MATATIZO NAWEWE.( WALA USIONGEE NAYE SANA.).
Kwa Ufupi mpitishe kwenye maumivu ya kisaikolojia tu kiasi kwamba Gharama za wewe kurudi kumchekea ziwe ni juu yake yaan KUKATISHA URAFIKI NAHAO PIMBI na ASIRUDIE.KOSA LILOFANYA UKAMBUTUA.
Vyovyote vile iwavyo, Mwanamke ni lazima amuheshimj Mwanaume wake.