Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

Hali zenu?

Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.

Kumbe mashosti zake wakawa wamemshauri akimbilie kushtaki polisi, akaenda kituo cha police kushtaki,baada kama ya lisaa hivi nikasikia nagongewa na balozi wa nyumba kumi akiwa kaambatana na Askari polisi wawili, wakaniambia nahitajika kituo cha police kwani mke wangu kaenda kushtaki kuwa nimempiga.

Sikuwa mbishi nikawaomba nibadili nguo na niweke mazingira ya nyumba sawa kwani watoto na dada wa kazi hawapo.

Basi bana nikafika kituo cha police pale kaunta nikamkuta wife kakaa yuko na mashosti zake kama wawiili nikachukuliwa maelezo yangu kisha nikafunguliwa kesi ya shambulio la kudhuru mwili, nikaingizwa lock up, kwa sababu ilikua usiku afande mmoja hivi akaniambia kosa linadhaminika kama kuna jamaa zangu wako around niwacheck waje wanidhamini

Lakini pia akanishauri kwa jinsi anavyoona nina hasira bora nilale tu mle lock up kuepusha madhara kwani nikisema nitoke usiku ule ningeweza kumdhuru zaidi wife na pale lock up ni sehemu salama zaidi. Basi nikawa nimemuelewa yule afande nikatulia mpaka asubuhi,kulivyokucha nikaomba simu yangu pale kaunta nikawapigia jamaa zangu wakaja wakaniwekea dhamana.

Hapa nilipo toka nitoke lock up nimeona nikae kwanza kwa jamaa angu kujiepusha na huyo mwanamke,ameisha enda police mwenyewe kuwaambia hana nia ya kuendelea na hiyo kesi hivyo anaomba ifutwe, Askari kama kawaida wamemtoa pesa kidogo.

Sasa toka jana naona ananitumia watu kuja kumuombea msamaha kuwa alikosea kunilaza lock up.

Hapa niko stranded nimsamehe au nimfanyaje na baada ya kumsamehe maisha yetu hapo ndani yatakuwaje?

Kama kuna yeyote amewahi kupitia hii changamoto anisaidie mawazo.
Mzee makosa ni yako na mke ni wako miruzi mingi inampoteza mbwa kumbuka ulimpiga na alikua na hasira na maumivu wakat anatoka akakutana na hao washenz na mtu ukiwa na hasira unafanya chochote wewe msamehe rud nyumban mkae muyajenge muekeane mipaka ya maisha yenu na wewe bwege mwanamke hapigwi na kifo kipo muda wote umemgusa kumbe ndio ahad yake saa hizo utanyea debe miaka 30 kwa kuua kumbe ilikua sababu tu ya ahad yake
 
U
Ukirudi
No 1
Oga
Kulendan HATA nususaa sio kuzuri
2.usiongee nae
3=kama unaweza kuhamia kwa mda hama
4.kama unaweza KUBADILI line ukawa na mpya kwa mda msiwasiliane kabisa Fanya hivyo
5=hakikisha unasali asbh na jioni uendakoo
6..ukirudi usimpigie simu
7.... hakikisha usinywe pombe ukiwa nae maana na...
8.ukirudi kaaa kimya PISHANA naeee YAAN HATA akusalimie kimya
9.hamia chumba kingine usikubali kulala chumba kimoja mwezi mzima HATA aje marehemuu mxazizwake
...inaendelea keshooo
kiwezaaa lala naee sikuhio apatee harufuu ya ndani na yeyeee
 
Wapumbavu wanaotetea, hivi wanafikiri mauaji yanatokeaje?
Ingekuwa ni dada yao au binti yao kafanyiwa hivyo wangesapoti huo ujinga? Pumbavu zao
Kuna mkaka alimuua mkewe tena mjamzito kaenda kuchota maji kakuta vijana ni yale maring wakamjazia kufika nyumbani kaanza kumpiga eti alikuwa na wanaume, kumbe binamu yake alipita kamuona kaenda mwambia ndugu yake mkeo yupo na vijana huu mwaka 22 yupo gerezani pamoja na mbeya wake
 
Huyu ilitakiwa achapike vidole vivimbe km virungu vya bendi hata kutype kutupa habari ashindwe 😹😹😹

Hii story yake ilitakiwa atupe baada y’a mwaka, baada ya kupona 🤣
😂😂😂😂 Kuna mkuu wakituo mmoja ilikuwa mtu akimpiga mkewe kesi ikamfikia alikuwa anatoa bakora zakutosha mpaka mwanaume anaomba poo 😂😂😂😂
 
Muwe mnajifunza na sheria kidogo,kwani wewe hujui kumpiga mtu ni kosa la jinai?,jamhuri ndio imekulaza lockup na wala sio mkeo,usiangalie tu upande wako angalia na upande mwengine na ikiwezekana msameheane maisha yaendelee hayo ni mapito tu katika maisha
 
Huyu ilitakiwa achapike vidole vivimbe km virungu vya bendi hata kutype kutupa habari ashindwe 😹😹😹

Hii story yake ilitakiwa atupe baada y’a mwaka, baada ya kupona 🤣
Mimi mtu anajiona kwamba yeye ni mtakatifu huwa si mpendi ndio aina ya mtoa mada🤨
 
Usichukulia poa suala hili, Wala usihadaike kabisa na machozi yake ya Mamba.

Picha alowapa Rafiki zake kukuhusu wewe, HAITAKAA kubadilika Kamwe vichwan MWAO.

Na ni wazi, Mkeo ni MPUMBAVU Hana akili, na usishangae Kila kitu Cha kwenu ndan kinajulikana Kwa rafiki zake.

Kuna moja waweza lifanya.

Rudi home ila usile ,Wala kuoga, Wala Kukuomba afue, Wala akuandalie chochote PIGA STOP na hakikisha ni STOP ya herufi kubwa ,sana sana akijisemesha mwambie SIHITAJI MATATIZO NAWEWE.( WALA USIONGEE NAYE SANA.).


Kwa Ufupi mpitishe kwenye maumivu ya kisaikolojia tu kiasi kwamba Gharama za wewe kurudi kumchekea ziwe ni juu yake yaan KUKATISHA URAFIKI NAHAO PIMBI na ASIRUDIE.KOSA LILOFANYA UKAMBUTUA.


Vyovyote vile iwavyo, Mwanamke ni lazima amuheshimj Mwanaume wake.
Fullstop.
 
Achana kutukana wanaume ww ma..laya
Mwanamke kuwa malaya sio jambo geni,Ila Mwanaume kuwa Choko kama wewe ni masikitiko makubwa.
Koma kujiweka kwenye kundi la Wanaume wewe ni choko nakujua.
 
Back
Top Bottom