chimei may
Member
- Feb 14, 2022
- 81
- 93
yaan ni hatareeeππ Haka ka tabia ka wengi kumbe..Mimi mwenyewe nyumbani hua nakikombe changu siwezagi tumia kingine zaidi ya kile..Kuna Kochi langu Hilo hata mtu mwingine akikaa nikienda sebuleni atapisha..nikikaa sehsmu nyingine Sina Raha hata...na sahani pia ππππ..
Wambea Sana hao.sio wa kuwa entertain kabisa anakuharibia image yako within a secondKuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee kumbe.[emoji23][emoji23] Haka ka tabia ka wengi kumbe..Mimi mwenyewe nyumbani hua nakikombe changu siwezagi tumia kingine zaidi ya kile..Kuna Kochi langu Hilo hata mtu mwingine akikaa nikienda sebuleni atapisha..nikikaa sehsmu nyingine Sina Raha hata...na sahani pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Boda boda nao watu lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wambea Sana hao.sio wa kuwa entertain kabisa anakuharibia image yako within a second
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shost hadi nmecheka hapa wallah khaaahSiwapendi Bodaboda kwa Umbea wao,uzushi,na Uzandiki!akikuzoe kidogo tu utasikia anawatangazia watu wewe Ni wake,akikupeleka sehemu akirudi kijiweni kayabwaga,yaani mifreezer Yao mibovu haigandishi!
Sitaki mazoea na bodaboda kwa Maana ukionyesha ukaribu nae tu anahisi unamtaka,Basi simu za hovyohovyo zinaanza ukimuuliza unasemaje eti nakusalimia, STUPID.
Kuhusu kumsubiria mtu Hadi aoge Ni ujinga na udhaifu wao tu,hamna hata mtu anatembea nao hao,wao Ni wazuri kwenye kutuharibia wadada wetu wa kazi.chunguza Sana hao bodaboda wangu huwa wanatembea na housegirl wa hiyo nyumba
Binafsi nikihitaji boda ni mwendo wa Bolt tu cheap,safe na faster,
Wee jifanye unawazoe hapo kijiweni watakuburudisha!Boda boda nao watu lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bodaboda wana siri kubwa sana hawa,Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jifanye unawazoe hapo kijiweni watakuburudisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umejuaje km mashoga wanawapenda hao boda boda.Bodaboda wana siri kubwa sana hawa,
Boda boda wanatumika kwa kazi nyingi sana, huwapeleka na kuwarudisha wake za watu mafichoni,hutumika na wake za watu kama kiburudisho, hata mashoga nao wanawapenda bodaboda.Huvusha magendo mengi tofauti tofauti.
Siku moja moja kaa na wana kitaa, wana stori nyingi sana, usipime.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umejuaje km mashoga wanawapenda hao boda boda.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.Siku moja moja kaa na wana kitaa, wana stori nyingi sana, usipime.
Kila ilipo topic au comment ya ushoga hukosekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.
Ktk kundi ninaloona la hovyoo ni boda boda, msieeeeew
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nawee pia hukosekani ndo maan uko hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila ilipo topic au comment ya ushoga hukosekani
Mkuu umeshawahi kukaa na madogo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.
Ktk kundi ninaloona la hovyoo ni boda boda, msieeeeew
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
SureTuseme tuu, wanawake wanapenda kupata Mtu wanaemuamini. Wakishampata wanakuwa Loyal.
Iwe Dukani, Kanisani, Bodaboda, mafundi n.k