Mkeo ana bodaboda wake?

Mkeo ana bodaboda wake?

😂😂 Haka ka tabia ka wengi kumbe..Mimi mwenyewe nyumbani hua nakikombe changu siwezagi tumia kingine zaidi ya kile..Kuna Kochi langu Hilo hata mtu mwingine akikaa nikienda sebuleni atapisha..nikikaa sehsmu nyingine Sina Raha hata...na sahani pia 😂😂😂😂..
yaan ni hatareee
 
Siwapendi Bodaboda kwa Umbea wao,uzushi,na Uzandiki!akikuzoe kidogo tu utasikia anawatangazia watu wewe Ni wake,akikupeleka sehemu akirudi kijiweni kayabwaga,yaani mifreezer Yao mibovu haigandishi!

Sitaki mazoea na bodaboda kwa Maana ukionyesha ukaribu nae tu anahisi unamtaka,Basi simu za hovyohovyo zinaanza ukimuuliza unasemaje eti nakusalimia, STUPID.

Kuhusu kumsubiria mtu Hadi aoge Ni ujinga na udhaifu wao tu,hamna hata mtu anatembea nao hao,wao Ni wazuri kwenye kutuharibia wadada wetu wa kazi.chunguza Sana hao bodaboda wangu huwa wanatembea na housegirl wa hiyo nyumba

Binafsi nikihitaji boda ni mwendo wa Bolt tu cheap,safe na faster,
 
Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]
Wambea Sana hao.sio wa kuwa entertain kabisa anakuharibia image yako within a second
 
[emoji23][emoji23] Haka ka tabia ka wengi kumbe..Mimi mwenyewe nyumbani hua nakikombe changu siwezagi tumia kingine zaidi ya kile..Kuna Kochi langu Hilo hata mtu mwingine akikaa nikienda sebuleni atapisha..nikikaa sehsmu nyingine Sina Raha hata...na sahani pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee kumbe.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Siwapendi Bodaboda kwa Umbea wao,uzushi,na Uzandiki!akikuzoe kidogo tu utasikia anawatangazia watu wewe Ni wake,akikupeleka sehemu akirudi kijiweni kayabwaga,yaani mifreezer Yao mibovu haigandishi!

Sitaki mazoea na bodaboda kwa Maana ukionyesha ukaribu nae tu anahisi unamtaka,Basi simu za hovyohovyo zinaanza ukimuuliza unasemaje eti nakusalimia, STUPID.

Kuhusu kumsubiria mtu Hadi aoge Ni ujinga na udhaifu wao tu,hamna hata mtu anatembea nao hao,wao Ni wazuri kwenye kutuharibia wadada wetu wa kazi.chunguza Sana hao bodaboda wangu huwa wanatembea na housegirl wa hiyo nyumba

Binafsi nikihitaji boda ni mwendo wa Bolt tu cheap,safe na faster,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shost hadi nmecheka hapa wallah khaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi sio kwamba wanamahusiano na bodaboda,kikubwa zaidi huwa wanawapeleka kwa madanga yao,wanajua Siri zao,na Siri ya watu wawili,hai make sense kila siku uende kwa mchepuko na bodaboda mpya..
 
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.

Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.

Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.

Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.

Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.

Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Bodaboda wana siri kubwa sana hawa,
Boda boda wanatumika kwa kazi nyingi sana, huwapeleka na kuwarudisha wake za watu mafichoni,hutumika na wake za watu kama kiburudisho, hata mashoga nao wanawapenda bodaboda.Huvusha magendo mengi tofauti tofauti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umejuaje km mashoga wanawapenda hao boda boda.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Na takwimu zinaonyesha vijana wa bodaboda ndio wateja wakubwa wa vumbi la Congo.
Ukikaa kwenye vijiwe vya bodaboda ukasikiliza story zao hauta tamani hata siku moja mkeo atumie huu usafiri.
 
Siku moja moja kaa na wana kitaa, wana stori nyingi sana, usipime.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.

Ktk kundi ninaloona la hovyoo ni boda boda, msieeeeew

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.

Ktk kundi ninaloona la hovyoo ni boda boda, msieeeeew

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kila ilipo topic au comment ya ushoga hukosekani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua mie nilichokuuliza? Wee umejuaje km mashoga wanawapenda boda boda? Ko hao boda boda ndo walivyokuambia? Boda boda kujua siri nyingi, na wao kupendwa na shoga ni vitu viwili.

Ktk kundi ninaloona la hovyoo ni boda boda, msieeeeew

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mkuu umeshawahi kukaa na madogo?
Nilikuwa na bodaboda kadhaa, kwahiyo walikuwa wakinizingua hesabu nawafuata kijiweni, nisipowakuta nakaa kuwasubiri, watu wangu walikuwa wanapaki vijiwe vitatu tofauti, Kwahiyo boda boda walikuwa wananiona kama mwana.
Anyway sijui wewe utaanzia wapi kupata stori?
Ila walikuwa wakijua nawasubiria na hesabu hawana hawatokei, ukipiga simu anakuambia nina abiria.
 
Back
Top Bottom