Hawatosheki hata sheteni alishindwa kuwatosheleza
Wazee wa Sky NyuzWanauza Sana gazeti hao jamaa
Huu ndio ukweri...Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Wewe jamaa ni mimi kabisa. Mke wangu ameniheshimu sana kwa jinsi ninaishi naye na anaheshimiwa sana na wenzake huko kwa aina ya maisha anayoishi.Haya mambo ni magumu sana. Binafsi nina msimamo mmoja siwezi poteza muda kufuatilia na kuchunga mwanamke. Nitatimiza tu wajibu kama mwanaume wake the rest yatakua juu yake. Ni ngumu kumchunga mwanamke. Kama ilivyo ni ngumu kumchunga mwanaume pia. So kimsingi hatuwezi chungana. Muhimu ni kutimiziana wajibu kiasi tujichunge wenyewe. Naithamini sana furaha yangu na uhuru wangu. Nachojua mkiwa wapenzi mnashare life including furaha na uhuru, sasa kama yeye kaona havitoshi nifanyaje. Yanini nianze sumbuana na mtu mzima ambaye ana akili timamu za kutambua nafasi na heshima yake kama mwanamke.
Tuenjoy maisha, tuache jipa stress zisizo na sbb.
I remember this.Kuna boda boda mwanza yeye alikuwa kazi yake kubeba mke wa mtu kumpeleka GuestWao umbea wao ni kupeleka Kwa wamama
Wakiwa na matumaini kuna siku watapewa
Mpaka uko wapi ?, nyie nani hawajui ?, yaani huwa tunaishi nanyi kwa sababu ni utaratibu tu na sheria, wanaume walio bachelor (single) huwa na good and long life, ukioa tu mwanamke ni sawa na kama umejiwekea kitanzi shingoni, unasubiri siku tu, mwanamke hana tofauti na jela ya hiari, Mama mmoja alisema Endapo Vyeti vya Ndoa vingekuwa vya ku renew kama lesen za magari haoni ni wananume wangapi wange renew, lakini pia mchungaji mmoja kule kenya aliuliza swali, Hivi Mungu akisema leo Ndoa zote nazivunja na mnaanza upya, wangapi watakuwa tayari kurudiana ?, wanawake ni chanzo cha matatizo hapa duniani, halafu kwanini umeniambia mimi mke wangu analiwa na bodaboda ?, unajisikiaje kunitusi ilihali mimi sijakusemea vibaya ?, Jiheshimu basi.
Huyo bodaboda wa wapi anafika mahali kikwete kasahau simu?Mimi ninao wawili.
Wananisaidia sana hasa kama nimesahau kitu au nina dharura ninawaagizia
Bodaboda wanasaidia jamii nzima.
Walimsaidia mpaka Kikwete alipokuwa Airport akasahau simu yake akaletewe na bodaboda.
Mengine ni kama vile yanayotokea makazini nyinyi maboss wa kiume kuwalala wafanya usafi wa kike au wasambaza vyakula.
Sio poa!Nshapata mbinu leo ntaitumia nione
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Massawe hapa..dada kumbe upo jf?
Sio poa!
Nina mpango wa kununua boxer niwe boda boda
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]njoo unifate Kinondoni hapa best!Massawe hapa..dada kumbe upo jf?
Itabidi uifanyie homework video iko mtandanoniHuyo bodaboda wa wapi anafika mahali kikwete kasahau simu?
Sasa ndio wanaume wajue wanawake wanapenda mtu anayewajali ,wanyenyekea na kuwaonyesha upendo kidogo tu.Utakuta mwanaume uliyenae hicho kitu hakipo wanafikiri akikupa hela au gari ndio mapenzi .Waume zetu wajitafakari sanaUkisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Huo u Mbwa dume wako ndo upi sasa?Ni kweli hawa boda boda wanasaidia sana mfano hapa mimi wife ana boda wake ambaye hata kama sipo huwa anakuja nyumbani anamsaidia mpaka wife kufagia uwanja nk.
Pia huwa ndo anampeleka kwenye vikao vya vikoba, misiba, harusi nk.
Hata juzi mke wangu alienda kwenye sherehe usiku akarudi mida ya saa sita usiku aliletwa na boda wake.
Huwa sina mawazo hata nikiwa safari najua huyo boda anamsaidia wife mambo mengi