Mkeo ana bodaboda wake?

Mkeo ana bodaboda wake?

Wanapenda ule mtetemo huwa unawatekenya chupi wakikaa kwa bodaboda, ndiyo maana utawaona wametanua vimiguu na kujifanya wako bize kumbe wanafurahia vibration. Hata mimi ni boda boda wa kadada kamoja hivi kamotooo.
 
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.

Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.

Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.

Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.

Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.

Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Huu ndio ukweri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ni magumu sana. Binafsi nina msimamo mmoja siwezi poteza muda kufuatilia na kuchunga mwanamke. Nitatimiza tu wajibu kama mwanaume wake the rest yatakua juu yake. Ni ngumu kumchunga mwanamke. Kama ilivyo ni ngumu kumchunga mwanaume pia. So kimsingi hatuwezi chungana. Muhimu ni kutimiziana wajibu kiasi tujichunge wenyewe. Naithamini sana furaha yangu na uhuru wangu. Nachojua mkiwa wapenzi mnashare life including furaha na uhuru, sasa kama yeye kaona havitoshi nifanyaje. Yanini nianze sumbuana na mtu mzima ambaye ana akili timamu za kutambua nafasi na heshima yake kama mwanamke.

Tuenjoy maisha, tuache jipa stress zisizo na sbb.
Wewe jamaa ni mimi kabisa. Mke wangu ameniheshimu sana kwa jinsi ninaishi naye na anaheshimiwa sana na wenzake huko kwa aina ya maisha anayoishi.

Tatizo watu humu wanacomplicate mambo sana.
 
Wao umbea wao ni kupeleka Kwa wamama
Wakiwa na matumaini kuna siku watapewa
I remember this.Kuna boda boda mwanza yeye alikuwa kazi yake kubeba mke wa mtu kumpeleka Guest
Yaani mwanaume anatangulia halafu anampigia boda amfate mwanamke.

Ujinga wa boda wengi akili hawana na majisifa.

Siku anamtambia mwenye mke ndo maana mke wake anatommbwa na .....

Weee mtiti mwenye mume kaona kadhalilika kaingia chimbo bodaboda yule aliliwa kiboga kitongoji kizima kilijuwa.

Ikabidi kaka wa boda anayeishi Dar amtoe Mwanza ampeleke Dar atibiwe.

Aibu sana na alikuwa na familia.
Nafikiri alishaachaga ukuwadi na umbea.
 
Mimi ninao wawili.

Wananisaidia sana hasa kama nimesahau kitu au nina dharura ninawaagizia

Bodaboda wanasaidia jamii nzima.
Walimsaidia mpaka Kikwete alipokuwa Airport akasahau simu yake akaletewe na bodaboda.

Mengine ni kama vile yanayotokea makazini nyinyi maboss wa kiume kuwalala wafanya usafi wa kike au wasambaza vyakula.
 
Mpaka uko wapi ?, nyie nani hawajui ?, yaani huwa tunaishi nanyi kwa sababu ni utaratibu tu na sheria, wanaume walio bachelor (single) huwa na good and long life, ukioa tu mwanamke ni sawa na kama umejiwekea kitanzi shingoni, unasubiri siku tu, mwanamke hana tofauti na jela ya hiari, Mama mmoja alisema Endapo Vyeti vya Ndoa vingekuwa vya ku renew kama lesen za magari haoni ni wananume wangapi wange renew, lakini pia mchungaji mmoja kule kenya aliuliza swali, Hivi Mungu akisema leo Ndoa zote nazivunja na mnaanza upya, wangapi watakuwa tayari kurudiana ?, wanawake ni chanzo cha matatizo hapa duniani, halafu kwanini umeniambia mimi mke wangu analiwa na bodaboda ?, unajisikiaje kunitusi ilihali mimi sijakusemea vibaya ?, Jiheshimu basi.

Pole ushaumizwa

Wengine wapo happy na wanawake zao
 
Mimi ninao wawili.

Wananisaidia sana hasa kama nimesahau kitu au nina dharura ninawaagizia

Bodaboda wanasaidia jamii nzima.
Walimsaidia mpaka Kikwete alipokuwa Airport akasahau simu yake akaletewe na bodaboda.

Mengine ni kama vile yanayotokea makazini nyinyi maboss wa kiume kuwalala wafanya usafi wa kike au wasambaza vyakula.
Huyo bodaboda wa wapi anafika mahali kikwete kasahau simu?
 
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.

Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.

Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.

Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.

Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.

Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
Sasa ndio wanaume wajue wanawake wanapenda mtu anayewajali ,wanyenyekea na kuwaonyesha upendo kidogo tu.Utakuta mwanaume uliyenae hicho kitu hakipo wanafikiri akikupa hela au gari ndio mapenzi .Waume zetu wajitafakari sana
 
Ni kweli hawa boda boda wanasaidia sana mfano hapa mimi wife ana boda wake ambaye hata kama sipo huwa anakuja nyumbani anamsaidia mpaka wife kufagia uwanja nk.
Pia huwa ndo anampeleka kwenye vikao vya vikoba, misiba, harusi nk.
Hata juzi mke wangu alienda kwenye sherehe usiku akarudi mida ya saa sita usiku aliletwa na boda wake.
Huwa sina mawazo hata nikiwa safari najua huyo boda anamsaidia wife mambo mengi
Huo u Mbwa dume wako ndo upi sasa?
 
Kila mbuzi atakula kutokana na urefu wa kamba yake.

Ukiona bodaboda wanafaidi,, na wewe nunua yako uwe Boda wa mkeo,, otherwise Kaa kwa kutulia na uache boda wa mkeo wafanye kazi wajenge taifa.

Alisikika fundi Boda boda akisema
 
boda boda ni agent wa shetani kitaa, kuna demu mmoja alikuwa anakataa kutoa namba kwa msela, tukasema emu tutumie boda boda ampe zetu akimuamuru piga hizo namba nimepewa uongee nao hao yaani atucall afu tupate zake na mchongo ukatiki na demu na ukali wake akaliwa kwa zamu, nilikujaga pewa taarifa na boda mmoja kwamba analiwaga na boda wa hapo kijiweni. hadi alifumwa akiliwa njiani uchochoroni night kali.

details zote nikizitaka za watoto wote wanao kua kua viziwa chomoza na wakusoma nazipata kwa boda ule mda nacheza draft, ila pia wake za watu hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom