Mkeo ana bodaboda wake?

Mkeo ana bodaboda wake?

Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]

Wao umbea wao ni kupeleka Kwa wamama
Wakiwa na matumaini kuna siku watapewa
 
Kuna bodaboda mmoja huku mtaani ni mbea hatari! Alikuwa na abiria wake Ana mdada amempangishia chumba mtaani! Bodaboda ndie alikuwa anatumiwa na jamaa kupeleka matumizi n.k! Bwana weee bodaboda c Kendamwambia mke wa jamaa full story kampeleka mpaka mpaka kwa huyo mchepuko! Story zmeenea mtaani nadhan saiv Hana wateja wengi maana ni mbeaaa[emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boda anakupeleka sehemu akishakushusha haondoki mpaka amuone uliemfata au aone unapoelekea woooi
 
Mama mwenye nyumba ana bodaboda wake anamtumaga sokoni kununua kila anachohitaji hata kusubiri kukuniwa nazi! Baba mwenye nyumba hajui hili..... itabidi nimjulishe ikibidi aje kusoma huu uzi!!
 
Mi ninao bodaboda wangu watatu, mmoja wa kunipeleka chocho zangu huyu sio mmbea, mwingine kwa ajili ya kumuagiza tu na wa 3 ni wa dharura ikitokea hao wawili wako mbali
Huyo wa chocho ndiye mwenyewe [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] anakufahamu A-z
 
Kuna kipindi nilikuwa na boda mmoja hivi Sasa mi kikawaida huwa sipendi kumtreat mtu vibaya, lugha nzuri, samahani km nikimchukulia muda wake kunisubiri, salamu endapo tukikutana pahala nk, ikawa nikienda shopping nae nampatia chochote kwa ajili ya familia yake nk, mkewe akajifungua akanambia nikaenda msalimia na zawadi ya khanga na kitenge Sasa jamaa sijui akahisi anaweza kuboresha kutoka kuwa boda na mteja iwe mtu na hawara yake akawa anapiga simu ovyo ovyo kilichoniboa Ni simu zake za usiku ,aagrrrrrggh nilimpa onyo na karipio kali hakuwahi nitafuta tena, akafie mbele huko, mfyuuuuu

Ila sikuwahi kumuamini mtu baki yeyote kunishikia kadi ya ATM hata kwa robo saa tu ije kuwa kutoa hela!! Labda babe nae Ni kwa vile mzigo anauweka mwenyewe benki
Jamaa aliharibu asee ushamba na haraka[emoji1787] ningekuwa mm tungeenda pole pole kimasihara hata miaka 5 poa tu mwisho ningekuingia..ukaniamni hadi ukawa hauna cha kuninyima.mwisho ungekuwa zaidi ya dada na rafiki
 
Mama mwenye nyumba ana bodaboda wake anamtumaga sokoni kununua kila anachohitaji hata kusubiri kukuniwa nazi! Baba mwenye nyumba hajui hili..... itabidi nimjulishe ikibidi aje kusoma huu uzi!!
Acha umbea mkuu
 
Mimi bodaboda WANGU[emoji1787] nilipewa namba na baby, sababu yeye alikuwa anaishi maeneo haya kabla yangu ila sasa hivi yeye akipiga simu inaweza isipokewe but mimi lazima apokee na hata kama kashalala anaamka. Huwa inamuuma sana.

All in all ni kijana mwaminifu sana japo sijafika level za kumpa ATM card mtu yeyote yule.

Una toa Sana Tip ??
 
Nina boda boda wawili na ni waaminifu Tena siku nyingine huwapa Hadi tip na ninaweza mtu Hadi sokoni.
 
Back
Top Bottom