Mkeo ana bodaboda wake?

Mkeo ana bodaboda wake?

Wanaume wenzangu mjiamini kabisa wanawake Ni wavivu na wenye kupenda kutegemea tegemea kiasili .case za kuwa boda anamla wife asee Ni chache sana Mara nyingi Ni kama mzee hamna kitu bed Ila mama anataka asimuaibishe mume nayo ya kukulana kama unaakili utainua hakunaga mapenzi ya utani boda pia Ni binadamu ana wivu na anapenda utajua tu .hata sisi wanaume huwa tuna marafiki tusiowala na tunalewa nao na hatiwali .nachojua mm boda hao huwa ubaya wao ndo wakuwaunganisha mabwana na kuwapeleka michepukoni.
 
Jamaa aliharibu asee ushamba na haraka[emoji1787] ningekuwa mm tungeenda pole pole kimasihara hata miaka 5 poa tu mwisho ningekuingia..ukaniamni hadi ukawa hauna cha kuninyima.mwisho ungekuwa zaidi ya dada na rafiki
Bahati mbaya sana sina historia hiyo braza ya kuliwa na watu naoonana nao mara kwa mara km school mates, majirani nk hivyo ungekwama tu,
 
Boda boda wangu ninae nampa ATM kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu.
Duuhh !! Mtanifanya nianze kutamani kuwa boda boda Sasa [emoji848][emoji39][emoji39]
 
Kuna kipindi nilikuwa na boda mmoja hivi Sasa mi kikawaida huwa sipendi kumtreat mtu vibaya, lugha nzuri, samahani km nikimchukulia muda wake kunisubiri, salamu endapo tukikutana pahala nk, ikawa nikienda shopping nae nampatia chochote kwa ajili ya familia yake nk, mkewe akajifungua akanambia nikaenda msalimia na zawadi ya khanga na kitenge Sasa jamaa sijui akahisi anaweza kuboresha kutoka kuwa boda na mteja iwe mtu na hawara yake akawa anapiga simu ovyo ovyo kilichoniboa Ni simu zake za usiku ,aagrrrrrggh nilimpa onyo na karipio kali hakuwahi nitafuta tena, akafie mbele huko, mfyuuuuu

Ila sikuwahi kumuamini mtu baki yeyote kunishikia kadi ya ATM hata kwa robo saa tu ije kuwa kutoa hela!! Labda babe nae Ni kwa vile mzigo anauweka mwenyewe benki
Mkuu naweza kuwa bodaboda wako? Me siyo msumbufu hata kidogo ..au bado huyo bodaboda unaendelea nae

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
ukiona mke wa mtu anatoka na bodaboda basi ujee huyo ni tabia yake tangu utoto - si ajabu hata kabla hujamuoa alikuwa antoka na shamba boy wao... na ukiona mumeo anatoka na H/girl wenu basi ujue hiyo ni tabia yake, si ajabu hata kipindi hamjaoana alikuwa anakula H/girl wao ama wa mtaani.
 
Kuna mda boss unatakiwa kurelax K ni yake, bikra hujamtoa. ukifa ukamwacha haitaziba itaendelea kutumika wakati mwingine usifikiri utakufa kabla ya umri alafu hao boda boda wake sasa watamtafuna mpaka wachinjane kwa wivu.
Umesema kweli mkuu
 
Dah,mi nna no.za boda boda kama tano hivi.Bado sijafikia hatua ya kumpa ATM card.Kuhusu kwenda sokoni dada anafanya nini hadi niingie gharama za kumtuma bodaboda.
 
ukiona mke wa mtu anatoka na bodaboda basi ujee huyo ni tabia yake tangu utoto - si ajabu hata kabla hujamuoa alikuwa antoka na shamba boy wao... na ukiona mumeo anatoka na H/girl wenu basi ujeu hiyo ni tabia yake, si ajabu hata kipindi hamjaoana alikuwa anakula H/girl wao ama wa mtaani.
Mkuu vp Ile milioni 300 umeshaitoa au bado unasikilizia tu
 
Bwana weeee, wadau wamechelewa ushauri, wengine wameniogopesha- Ngoma muda huu huu saa 8:00 kitu kimesoma : Reversed transaction.....

ngombe wa maskini......
Ahahahahah waambie wakupe hata hela ya chai angalau

Transactions za kibnk zinaenda kibabe sn,angekuwa mtu Tu amekosea nadhani hata milioni ya kufuta machozi angekupa
 
Back
Top Bottom