Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahhahaaaaHii kitu niliacha baada ya kugundua bodaboda wangu ni chawa wa mr
Ndio maana muaminifu sana.Honestly hata Mimi kuna dogo ametokea kuwa Boda sahihi sana kwangu, naeza mpatia pesa hata Mil 10 apeleke mahali na zinafika salama. Hata nikiwa na safari ya haraka inayohitaji Boda huwa nakuwa at peace kupanda Boda boda yake kuliko boda zingine.
Na huyu Dogo nimejuana naye kupitia kwa wife. [emoji28][emoji28]
Sina.......Na wewe Una bodaboda wako??
Huyu inawezekana ana madhaifu yake tu baada ya pombe...... anafaa kulewa akiwa nyumbani!!!Shida akishalewa hawajielelewi
Kuna mmoja kastuka anaamka na bodaboda wake lodge..
Unaweza fikiri nadanganya Ila ni ukweli mtupu
Etiii??????Umpe ATM card akakuchukulie hela?
Sina.......
Ila baada ya kusoma huu uzi nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na bodaboda wangu aisee
Bora ufanye hivyo.Mimi pia Jana nimechukua namba upya ila this time nahakikisha hafiki nyumbani wala hafahamu issue yangu yoyote
Yaani ni hello Njoo sehemu fulani nipeleke sehemu fulani shika pesa yako
Asante. Baaaasi
Sasa naelewa kwa nini hawa vijana wanapenda wake za wenyewe......Kumbe ujausoma huu Uzi wote
Wapo Hadi wadada humu wanawapa ATM card bodaboda wakawachukulie pesa..
Pitia Uzi uone
Ukitaka Kuishi vizuri na kwa muda mrefu usiwafuatilie Hawa watu, ukiwa unamhitaji malizana naye kabisa kila mmoja ashike lake, hakuna mazoea, Kama yuko ndani tegemea akili zako, kwani ndio wa kwanza eti wanashauri ili wakuteke akili na pesa. Muhimu watoto wachache, wape malezi mazuri, Elimu Nzuri, wasaidie wafikie malengo yao. Tunza Pesa yako na mali yako, Kama Watoto wana akili andikisha mali kwa watoto.Nadhani Wanawake Hawajui Ni Nini Wanataka, Fikria Uwe Tajiri Watakusaliti Uwe Hauna Kipato Pia Utasalitiwa.. Kijana Wawatu Kutoka Ukingani Fredy Ngajiro Aka Fredy Vunjabei Kashalizwana Mobeto Hamisa, anabaki Tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilishangaa sana siku nilipomwambia mchepuko tupande daladala twende mnadani Msalato dodoma takriban KM 12 bibie kaniambia anamwita bodaboda wake tupande mshkaki hua anampeleka na kumfuata kwa elfu tatu
yaan hapo kwenye kiti nyumbani kama mm adi kikombe cha chai nisiponywea nnachokipenda sijisikii jmnMkuu sababu haswa ya msingi ni hulka tu ya wamama, wadada kupenda kuwa na mtu wanayemuamini...
Kama kuna mengine zaidi ya hayo ni udhaifu tu wa kibinadamu..
Nje ya mada, hata sisi wanaume tuna barmaid wetu hao asipokuwepo bar vyombo havishuki
Au ukiwa maskani unajipata una kochi lako hilo au kiti chako hupati amani ukikaa pengine...
😂😂 Haka ka tabia ka wengi kumbe..Mimi mwenyewe nyumbani hua nakikombe changu siwezagi tumia kingine zaidi ya kile..Kuna Kochi langu Hilo hata mtu mwingine akikaa nikienda sebuleni atapisha..nikikaa sehsmu nyingine Sina Raha hata...na sahani pia 😂😂😂😂..yaan hapo kwenye kiti nyumbani kama mm adi kikombe cha chai nisiponywea nnachokipenda sijisikii jmn