Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

I just love my wife, she's very smart...
Unakuwa na mke smart anayejua kupangilia mambo ya nyumba yake 100%. Halafu bwana, kanizalia watoto wazuri....that's more than anything kwangu!

Tatizo nyama moja inakinahi wakuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulivyoanza vizuri sikutegemea nikutane na hiyo sentence ya mwisho πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…