Huu uchawi ni hatari mimi nina vinasaba kataa ndoa,lakini this time nimejikuta matatani na mtoto wa mtu anataka nisaliti kiapo...Kuna ile tu mtu unamtazama unajikuta unampenda tu basi, huna hata sababu kubwa, yaani jitu tu linakuvutia
We phalla mjanja sana yaani [emoji23][emoji23]
Sawa nimekosa mimi, nimekosa sanaπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ...ndo sasa utuambie umempendea nini usingizi wako bi faiππππ€Bado binti yule, ebu kua na adabu kwenye kitu kinacho nipa raha...π€¨
πππππHuu uchawi ni hatari mimi nina vinasaba kataa ndoa,lakini this time nimejikuta matatani na mtoto wa mtu anataka nisaliti kiapo...
Yule mtoto mashallah.... yani ni mwendo wa walahi walahi, na kuvalia msuli kila tunapokutana Pemba....ππEee ndo utuambie umempendea nini kikongweππππππ
Yamkini bado anatafuta pesa.bado sijapata wa kufanana nae
bathi thawaaπ€π€Yule mtoto mashallah.... yani ni mwendo wa walahi walahi, na kuvalia msuli kila tunapokutana Pemba....ππ
Watu weweeeeeeee na wenye babee zenuuu, Countrywide njoo hapa uduguu upokee maua yakooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisayansi, kisababishi cha mapenzi ni "Oxytocin".Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namis yale makelel lakin natafuta sababu nimuache
Ngoja aje aingizie habari za dipiii woleedii hapa uone
Ile saa mbovu niachieni mimi ndio najua kuirekebisha....ππNgoja aje aingizie habari za dipiii woleedii hapa uoneπ€£π€£π€£π
Mambo mrembo....πKisayansi, kisababishi cha mapenzi ni "Oxytocin".
Ingia mtandaoni jifanye utafiti kiduchu au muulize "AI ChatGPT" ujielimishe "oxytocin" ni nini.
Sawa tunakuachia,,, naona amewasili tayari kazi kwakoππIle saa mbovu niachieni mimi ndio najua kuirekebisha....ππ