Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Pole sana....watu hubadilika mkuu.....ongea nae myamalize labda
ILI niwe salama ni kukubali kuburuzwa, something siipendi!

Nadhani ni kazi ,watoto na hivi vijumba jumba hivi na mashamba fulani vinampa kiburi na kanisoma siwezi dai mgao coz sio type hiyo na nina totoz nae!!!

Solution!just run,run my boy just quit meen!!

Am there!
 
Kumbe huyu KOMWE To yeye waga ana pwenti kiasi hikiii!

Umemjibu hadi raha.
 
ILI niwe salama ni kukubali kuburuzwa, something siipendi!

Nadhani ni kazi ,watoto na hivi vijumba jumba hivi na mashamba fulani vinampa kiburi na kanisoma siwezi dai mgao coz sio type hiyo na nina totoz nae!!!

Solution!just run,run my boy just quit meen!!

Am there!
Kukaa sehemu isiyokupa amani inahitaji ujasiri wa juu.....kikubwa mpuuze fanya kama huoni mambo yake Ili kuilinda amani ya moyo...la sivyo utakufa mapema Kwa magonjwa ya moyo
 
Kukaa sehemu isiyokupa amani inahitaji ujasiri wa juu.....kikubwa mpuuze fanya kama huoni mambo yake Ili kuilinda amani ya moyo...la sivyo utakufa mapema Kwa magonjaa ya moyo
Operation ishaanza,next stage excecuted,

Operation under 18 tayari,nasubiriwa location!!!

Nipo updated sio backdated kama anavodhani!

Kuna uratibu mpangokazi ambao hadi uwe na true eye ki detect,and she didn't!!!

Ila baba yake atasikitika sana coz the ananikubali sana nilimbebea aibu mtaani huwa anasema tena nilitoka mbali kubeba aibu ile iliyokua imeanza kukomaa!!
 
🤣🤣Tulia bas,hizi ni data zako binafsi ...na hapa ni public...calm down please....maisha hayakosi changamoto mkuu
 
Back
Top Bottom