Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
501
Reaction score
406
Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa sasa"
Je hii ni sawa kimaadili?
 
Kama ameseviwa kaka kwenye simu unaibiwa aisee 😅
 
Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa sasa"
Je hii ni sawa kimaadili?
Kama unajua ni kaka yake kweli sioni tatizo. Unaweza dharau tatizo hilo. Ila kwake hiyo ni changamoto kubwa sana. Ujue anahitaji msaada wa kila namna.
Jaribu kushirikiana naye utatue changamoto zake.
 
Back
Top Bottom