Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 595
- 786
Umedanganywa ni kaka yake lakini kiuhalisia ni mchepuko wake.
😂😂 qmmninaWewe utakuwa BICHWA KOMWE fambafu siku..to..mb..i ng'ooo😂
Ndio, masega ni nye..geUna uhakika una masega?
Sio kaka ake....Msukuma
Kwa hiyo anakaziwa?Sio kaka ake....
Hii inapenya broNamfahamu ni Shemeji yangu,kwa mama mkubwa na mama mdogo
Kaka ana taaluma za afya au maisha yao kifamilia yapoje?Nawafahamu, ni kakaake
Hapo naanza kuhisi kitu, analiwaHii inapenya bro
Penetration sio?😂Hii inapenya bro
Kwani Shida iko wapi? Ugonjwa hauna Soni.Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa sasa"
Je hii ni sawa kimaadili?
Sahihi.Kwani Shida iko wapi? Ugonjwa hauna Soni.
Utakapoumwa huwezi kutembea na kwenda chooni Utatawazwa na Mtoto wako wa Kike ambaye naye kaolewa.
Ndio maana tunapaswa kuishi kwa kujaliana.
Nimekaa Ulaya nimeona wazee wakitunzwa na watoto wao wa kike baada ya kufilisika kwa kula Bata ujana wao.
Masega ni msambwanda mkubwaa wenye kinyeo kilichonona.Ndio, masega ni nye..ge
Nakumbuka Kuna Mwaka Mama alijifungua na akazalishwa na Mkwe wake aliyemuoa Dada YetuKama unajua ni kaka yake kweli sioni tatizo. Unaweza dharau tatizo hilo. Ila kwake hiyo ni changamoto kubwa sana. Ujue anahitaji msaada wa kila namna.
Jaribu kushirikiana naye utatue changamoto zake.
Hizi jeuri huwa tunazo tukiwa na nguvu na Afya.Sahihi.
Nipo Quebec hapa, kuna binti anamtunza babake