UkweNakumbuka Kuna Mwaka Mama alijifungua na akazalishwa na Mkwe wake aliyemuoa Dada Yetu
Si unajua wazazi wa zamani wanazaa hadi uzeeni? Yule Shemeji alikua ndio Tabibu pale zahanati ya Kijiji. Mama Uchungu ukampata tena alizaa kwa tabu sana. Na ndio akawa mtoto wa mwisho.
Walevi washaingia😂Si useme tu ulioa mke wa shemeji yako
Itabidi niachane na hii I'dWalevi washaingia😂
Aah iko poa utani tu mkuuItabidi niachane na hii I'd