Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa sasa"
Je hii ni sawa kimaadili?

Hawezi kuwa Kaka yake, na Kama ni Kaka yake una uhakika, keshamkaza; labda kama ni Daktari
 
Back
Top Bottom