Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

[emoji23][emoji23][emoji23] aise hao miili yao huwa inawasha washa kama wanawake wakikurya.
Ukiwashwa washwa dawa ipo! Mie mwanamke mwenye hekima anaejua aseme nini na saangapi ndio tutaenda sawa ila mjuaji na kidomo domo atantia lawama siku moja.
 
We lazma nije nikutolee posa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto mzuri!
Au unataka tukune wote nazi jikoni? Mambo ya kishwaini
Yani siku ikatokea kwenye huu ulimwengu wa nyama nikakutana na wewe halafu nikajua wewe ndio Extrovert ntakimbia eneo hilo nisirudi kabisa na hiyo barabara sipiti tenaaaa....nisije nikakuongelesha ukanikata mtama mtoto wa watu
 
Hata kama akiwa anajishughulisha asiwe yule strong woman anayetaka kupanda vyeo kila mwaka yani mtu aliyeko goal oriented kihivyo. Wanawake wengi wa hivyo wapo very competitive hadi majumbani utaishia kumpiga atakushtaki utafungwa
Huyo mbona mapema tu anakula red card😆 mwanamke lazma awe na kiasi bana. Sasa anataka vyeo kama brigedia sindio mwanzo wa kuleteana ubabe mjengoni.

Halafu mwanamke akiwa so elevated anaona mwanaume ni useless. Thats according to nature ndio maana hatuwapi vipaumbele kwenye nyadhifa nyeti za uongozi.

Impact yake imeshaonekana kwa kujenga vizazi vibovu sana toka mkutano wa Beijing upitishwe na maswala ya haki sawa. Before that wanawake walikuwa waoga kushupaza shingo ila wakapewa go ahead kuwa kushupaza shingo ni haki kama haki zingine. Upuuzi.
 
Lolol niache[emoji23][emoji23]
 
Yani siku ikatokea kwenye huu ulimwengu wa nyama nikakutana na wewe halafu nikajua wewe ndio Extrovert ntakimbia eneo hilo nisirudi kabisa na hiyo barabara sipiti tenaaaa....nisije nikakuongelesha ukanikata mtama mtoto wa watu
Hahah halafu we ndio mzuri maana unaogopa makwenzi...nikikohoa tu unarudi kwenye key mambo yanaenda sawa! 🤣🤣🤣🤣🤣

Hapo nakudekeza tu kama mtoto...hadi utapenda mwenyewe. Ukija kustuka una vitoto vitatu 😁😁😁
 
La pili mkuu
 
dah hongera sana
Mkuu unaniambia hongera?. Nimejaribu maisha yote,kijeshi,upole,kwake vyote ni bure mkuu. Ni kazi kubwa kuishi na aina hii. Tatizo unakuja kumjua tayari uko uwanjani nae. Anaweza kukuandikia sms 100,wewe umeandika moja tu.Shida sasa nikichukua action ya kumpiga chini
 
H
Hahaha drama Queen huyo! Jau sana babaake sema kama wife ni ngumu. Fanya kumu ignore tu 🤣🤣🤣 ila kama GF unabwaga tu.
 
H

Hahaha drama Queen huyo! Jau sana babaake sema kama wife ni ngumu. Fanya kumu ignore tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kama GF unabwaga tu.
Wife kabisa mkuu,tuna miaka zaidi ya 10. Kawaida yangu mimi ni mpole,ila kuna ikizidi nakuwa mbogo,japo napoa haraka. Mwisho wa siku nikapata suruhisho,ambalo nusula limtoe roho. Nionee huruma tu mkuu,
 
Wife kabisa mkuu,tuna miaka zaidi ya 10. Kawaida yangu mimi ni mpole,ila kuna ikizidi nakuwa mbogo,japo napoa haraka. Mwisho wa siku nikapata suruhisho,ambalo nusula limtoe roho. Nionee huruma tu mkuu,
Suluhisho lazma ni kipoozeo tu 🤣🤣🤣 maana amna namna ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…